Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

Kwa sababu watu wengi wa Nchi hii na Africa yote wanaupenda sana ufisadi ndio maana kitu chochote cha maana kikianzishwa na wakakabidhiwa kukiendesha kitu cha kwanza watakachokifanya ni kutengeneza mipango na mbinu zao za kupiga pesa kupitia hicho walichokabidhiwa !

Au nasema Uongo ndugu zanguni ????! 😳🙄
 
Aliomba msamaha baada ya kugundua kuwa aliyetaka kumuua yupo ndani ya chadema na siyo Magufuli
Yeye alijua hana kosa, sasa anaombaje msamaha?

Ukiomba msamaha ina maana ushafanya kosa
 

Inakuuma sana watanzania masikini kusafiri dar - Dom kwa masaa 3 tu
 
Nashangaa mwanaCCM kindakindaki kama Etwege litokee tukio kama hili halafu asirekodi ka clip kwa ajili ya ushahidi?

Hii story ni ya kutunga kwasababu hakuna ushahidi wa kusindikiza hadithi yake.

Wewe mwenyewe unaangua kilio kimyakimya ndani ya moyo wako
 
Pamoja na juhudi zote hizo Treni zinaitwa "Samia Express" 🙌
 
Inakuuma sana watanzania masikini kusafiri dar - Dom kwa masaa 3 tu
Mkuu Dar to Dom masaa matatu hata basi lolote linaenda sema kwakuwa nchi masikini bado zina limit speed 80 kwa saa ndiyo unaona zinatumia zaidi ya masaa hayo.

Sasa gari ina speed 180 hadi 240 ukisema itembee speed 180 tu kwa saa basi Dar to Dom ni masaa matatu.
 
Hii treni lazima ibinafsishwe, hatuwezi kuendesha treni ya umeme sisi, la zivyo tutaanza kuambiwa porojo za hasara kila mwaka. Kama ndege tu.
 
Unapokoseaga na kuonekana una IQ ndogo ni kuwahusisha hao CDM na kila mada yako. Unaweza kuwa na hoja zenye mashiko lakini uraibu wako kwa CCM umekuondolea uwezo wako wa kujenga hoja. Kama hiyo ndiyo sababu ya huyo kijana kulia na wewe unamsapoti, basi wote ni wale wale.
 
Kwa niaba ya CCM tusamehe mkuu!
Ndo maana baada ya lile jamaa kupoteza fedha kuhamia Dodoma sasa tunafanya mambo ya maana.
...tumeshasambaza pikipiki nchi nzima. na Baiskeli zinakuja
 
Habari hii bila clip ya kuonesha jinsi akilia inakaa uzushi!
 

Kumbe hata akili huna kabisa
 
Hii treni lazima ibinafsishwe, hatuwezi kuendesha treni ya umeme sisi, la zivyo tutaanza kuambiwa porojo za hasara kila mwaka. Kama ndege tu.

Hii ndiyo sababu ilikufanya upinge ujenzi wake?
 

Cdm ni wapumbavu na wameshiriki sana kupotosha watanzania
 
Kwa niaba ya CCM tusamehe mkuu!
Ndo maana baada ya lile jamaa kupoteza fedha kuhamia Dodoma sasa tunafanya mambo ya maana.
...tumeshasambaza pikipiki nchi nzima. na Baiskeli zinakuja

Haha nyumbu hawezi kukuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…