Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

Sifa apewe MWENDAZAKE ama huyu wa SASA?

UVCCM na UWT naombeni majibu.
 
Cdm ni wapumbavu na wameshiriki sana kupotosha watanzania
Hawa ndugu zangu una makasiriko nao sana. Siku ukipewa uwezo utawafutilia mbali kwenye kurasa za siasa za nchi hii. Kuna mmoja alijaribu kufanya hivyo, bahati mbaya hakufanikiwa.
 
Hata Mimi anisamahee tu Maghufuli wengi wameuona umuhimu wake baada ya kuondoka.
Bila yeye SGR isijengwa wazee wa malori na mabus wangenyea kinyesi isijengwe
 
Umebaki peke yako bado unapigania legacy. Nakukumbusha kuwa maendeleo kwa wananchi sio hisani, ni wajibu wa Kila kiongozi. Ni ujinga kumsifia kama vile alitoa hela yake binafsi kufanikisha hayo.
 
Hawa ndugu zangu una makasiriko nao sana. Siku ukipewa uwezo utawafutilia mbali kwenye kurasa za siasa za nchi hii. Kuna mmoja alijaribu kufanya hivyo, bahati mbaya hakufanikiwa.

Mchawi na muongo ni watu wa kuchoma
 
Umebaki peke yako bado unapigania legacy. Nakukumbusha kuwa maendeleo kwa wananchi sio hisani, ni wajibu wa Kila kiongozi. Ni ujinga kumsifia kama vile alitoa hela yake binafsi kufanikisha hayo.
Alizisimamia na tukaanza kuona nidhamu makazini na maofisini. πŸ™„πŸ˜³

Kwa muda mfupi tu tukaanza kuona heshima na uwajibikaji sehemu zote za Kazi πŸ™„
Mara ghafla bin Vuu sasa tumerudi kule kule kwenye Enzi za unanijua mimi ni Nani ?!!!!!

Au nasema uongo ndugu zanguni ????πŸ™„πŸ˜³
 
Kwamba sasa hivi aliyeko hujaona anachofanya?
1. Huoni uchumi unakuwa.
2. Madeni kulipwa kwa wakati.
3. Mishahara kulipwa kwa wakati.
4. Maelewano ya kisiasa na wapinzani.
5. Ajira mamilioni hata jana zimetangazwa ajira za afya 8000
 
Kwa niaba ya CCM tusamehe mkuu!
Ndo maana baada ya lile jamaa kupoteza fedha kuhamia Dodoma sasa tunafanya mambo ya maana.
...tumeshasambaza pikipiki nchi nzima. na Baiskeli zinakuja

..fedha zilizotumika kujenga Dodoma zingeelekezwa kwenye mradi wa umeme Stieglers, ujenzi wa Sgr, au miundombinu bandarini, tungepata faida zaidi.
 

..Marekani haina shirika la ndege la serikali.

..pia hatuwezi kuwaiga Ethiopia kwasababu wao walianzisha shirika lao miaka ambayo biashara ya usafiri wa anga ilikuwa haina ushindani mkali kama zama hizi.
 
Picha iko wapi ya kumuonyesha kijana akilia ili tuamini ulichoandika ni kweli
 
Shetani ni wewe unayechukia maendeleo ya watanzania
Shetani ni yule mnayemwabudia aliyewafilisi kina Manji kwa roho mbaya yake na ndo mana alikufa kifo cha kifala kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…