Mpinga Hayati Magufuli aangua kilio ndani ya treni ya SGR

..Marekani haina shirika la ndege la serikali.

..pia hatuwezi kuwaiga Ethiopia kwasababu wao walianzisha shirika lao miaka ambayo biashara ya usafiri wa anga ilikuwa haina ushindani mkali kama zama hizi.
Mkuu ubunifu ni sawa na vidole vya mikono vinatofautiana, wapo wasomi imara kwenye sekta ya anga muda huu wakati unakuja na hoja zako za kupinga, wao wanatengeneza faida ya mabilioni ya shilingi.

JPM alikuwa na udhaifu wake lakini alijaaliwa maono ya hali ya juu sana. Sekta nzima ya usafiri wa anga kwa sasa inapanda juu kuliko kipindi chochote.
 
Mwambie dogo huyo wa Gen Z asilie kwa kuwa:-

1. SGR kujengwa ilikuwa kwenye vision 2025 iliyoandikwa na BW Mkapa, hivyo kujenga lilikuwa suala la muda

2. J Kikwette alikwisha fanya taratibu za awali hadi kuingia mkataba na Wachina.

3. Magufuli kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe aliwafuta Wachina na kuwaleta Waturuki. Hadi anakufa mwaka 2021 ilikuwa imefika 35%

4. Rais Samia amemalizia 65% hadi kufika Dodoma

Waache wajinga waendelee kumsifia huyo Dikteta kwa kila kitu kwa kuwa ALIWA BRAINWASH
 
Bo
Bora yeye alitumia fedha hizo kujenga na kununua mandege.

Vipi umeshajiuliza chura kiziwi hela zake anapeleka wapi?
 
Kwamba sasa hivi aliyeko hujaona anachofanya?
1. Huoni uchumi unakuwa.
2. Madeni kulipwa kwa wakati.
3. Mishahara kulipwa kwa wakati.
4. Maelewano ya kisiasa na wapinzani.
5. Ajira mamilioni hata jana zimetangazwa ajira za afya 8000

Haya hata wewe ukiwa rais utafanya tu
 
..fedha zilizotumika kujenga Dodoma zingeelekezwa kwenye mradi wa umeme Stieglers, ujenzi wa Sgr, au miundombinu bandarini, tungepata faida zaidi.

Kumbe sasa hivi hamna hela iliyoelekezwa kwenye hiyo miradi?
 
Shetani ni yule mnayemwabudia aliyewafilisi kina Manji kwa roho mbaya yake na ndo mana alikufa kifo cha kifala kabisa!!

Shetani ni wewe, roho mbaya ni wewe hutaki watanzania wapate umeme wa uhakika
 

Hakuwa hata na udhaifu wowote nyumbu yu uelewa wao uko duni sana
 

Ulikuwa unataka Samia asimalizie wakati alikuwa makamu wa rais?

We ni mjinga na mpumbavu mwenye roho mbaya sana
 
Bo

Bora yeye alitumia fedha hizo kujenga na kununua mandege.

Vipi umeshajiuliza chura kiziwi hela zake anapeleka wapi?

..hata chura kaila ujinga wa kununua midege.

..niliunga mkono sgr na Stieglers nilikuwa 50/50.

..dodoma na midege nilipinga.
 

..mnachezea tu fedha za umma kwasababu mna madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…