Mpinzani halisi wa Alikiba ni MarLaw, sio Diamond...

Hussein Massanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
1,016
Reaction score
2,195
Tunaokumbuka, tunakumbuka.

Muziki na ushindani wa kweli ulikuwa enzi za Alikiba na Marlaw. Ni miaka ya 2009 kurudi nyuma huko. Kabla ya Belle 9 na kina Ben Pol kutengenezwa kimkakati kisha kuja Diamond baadaye.

Alikiba na Marlaw walichuana kwenye ligi moja na kina Z-Anto, Matonya, MB Doggy, Sumalee, Pingu na Deso, 2 Berry, AT, PNC, Q-Jay, Makamua, Kassim Mganga, Joslin na wengine wengi.

Ni muda mrefu sasa tumekosa ladha ya mchuano wa vipaji halisi. Kama Ally Kiba alipotea na kurudi, why not Marlaw?

Marlaw ndiye muimbaji anayeweza kumchalenji zaidi Ally Kiba kwa sasa, kama ilivyokuwa zamani.

Nimefurahi kuona Master Jay kupitia Marco Chali (MJ Records) ndio wametengeneza wimbo huu mpya. Mpaka sasa unakimbia sana huko YouTube. Soon utakuwa kwenye playlist za redio na mitaani kwenye Bodaboda.


Marlaw - Taa (with lyrics)

NB: Ally Kiba asichukulie vibaya kurudi kwa ushindani huu kati yake na Marlaw. Kwanza wote wana nidhamu na sio watu wa show off na drama. Amuache Diamond apambane na wengine akiwemo Harmonize wake.

Team Diamond na WCB msinielewe vibaya!
 
So ktk hao watatu Mondi,Marlaw na Kiba nafasi ya Mondi ni ipi? Nikusema yupo chini sana kiasi yakua hawezi kushindanishwa na Kiba maana levo za kiba ni Marlaw,ambao wapo juu?au yupo juu sana kiasi yakwamba badala watu kumueka Kiba levo moja na Mondi haingii badala yake levo ya kiba ni Marlow ambao wote wapo chini?
Hebu tufafanulie hapa na ukafanya hivyo nadhani utakua umesha summarize bandiko lako nzima!
 
Kuna kolabo moja yumo Marlaw na wakuringa Kiba inaitwa SHABABI ni kali mno kuna sauti tamu sana. Nyimbo ni ya Geez Mabovu.
HIVI KIBA HANA WASHAURI!!?!
 
Diamond vs Kiba is a mismatch competition!
 
Kuna kolabo moja yumo Marlaw na wakuringa Kiba inaitwa SHABABI ni kali mno kuna sauti tamu sana. Nyimbo ni ya Geez Mabovu.
HIVI KIBA HANA WASHAURI!!?!
Naifahamu. Marlaw alimburuza Kiba vibaya mno mule!
 
Well, am not sure why was it crucial to have diamond name on your thread title if your intention were to only say marlaw is of the same class as kiba.

I mean.. Must you write his name if he ain't good at music as you're preaching?? You could have just ignored him.. Clearly, there is no point in whatever you said. I don't see nothing but crap on the whole post.
 
Marlow hawez kurudi tena kwenye kiwango chake, huyu ni mtu wa Iringa , hafanyi jambo ili kushindana na mtu so uwezo wa kurud vizur kwenye hana ila Kiba na Diamond wanaweza kupotea na kurudi kwa kasi maana wana dam ya Kigoma hawa, dam isiyo na msamiati " kukata tamaa" wao wakipotea jua watarudi na kuwa vizuri kama kaka yao "Mkigoma mwenzao" Kaseja
 
pumba kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…