Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Tunaokumbuka, tunakumbuka.
Muziki na ushindani wa kweli ulikuwa enzi za Alikiba na Marlaw. Ni miaka ya 2009 kurudi nyuma huko. Kabla ya Belle 9 na kina Ben Pol kutengenezwa kimkakati kisha kuja Diamond baadaye.
Alikiba na Marlaw walichuana kwenye ligi moja na kina Z-Anto, Matonya, MB Doggy, Sumalee, Pingu na Deso, 2 Berry, AT, PNC, Q-Jay, Makamua, Kassim Mganga, Joslin na wengine wengi.
Ni muda mrefu sasa tumekosa ladha ya mchuano wa vipaji halisi. Kama Ally Kiba alipotea na kurudi, why not Marlaw?
Marlaw ndiye muimbaji anayeweza kumchalenji zaidi Ally Kiba kwa sasa, kama ilivyokuwa zamani.
Nimefurahi kuona Master Jay kupitia Marco Chali (MJ Records) ndio wametengeneza wimbo huu mpya. Mpaka sasa unakimbia sana huko YouTube. Soon utakuwa kwenye playlist za redio na mitaani kwenye Bodaboda.
Marlaw - Taa (with lyrics)
NB: Ally Kiba asichukulie vibaya kurudi kwa ushindani huu kati yake na Marlaw. Kwanza wote wana nidhamu na sio watu wa show off na drama. Amuache Diamond apambane na wengine akiwemo Harmonize wake.
Team Diamond na WCB msinielewe vibaya!