Mpinzani wa kushindana na Rais Samia 2025 labda atokee CCM

Huyo slaa angegombea na Magufuri zile risasi za Lisu zingeanzia kwake
 
Kwani Ccm mna fanya uchaguzi au dola ina saidia kuiba kura? Ccm hamja wahi kushinda kwenye box la kura
 
Reactions: BAK
Huko ccm nako labda Dr Mwinyi wa Zenji,Makamba, PM na Ummy.

Waliosalia ni magarasa ,,mtu kama Mwigulu,VP au Kabudi Hawa ni wajivunie na wanajiona Wana akili kuliko wengine hawafai Wana hulka za udikteta
 
Uchaguzi ujao nitapiga kura ya Rais na itaenda kwa mama tuu , kwingine sitapiga kura maana hakuna wagombea wa maana.
 
Wewe ni takataka ya CCM watakusikiliza wapumbavu wenzako tupishe.
 
Atakaye amua kutembelea nyota ya Legendary John to the roots (wananchi) huyo mbona mapema tu anamgaragaza malkia hang!.
Hata legendary wako alikalia ofisi namba moja kwa nguvu ya tume, kura ni kiini macho tu cha kuonyesha na kukubalika kwa wakubwa huko duniani.
 
Kwa KATIBA HII na TUME ya Uchaguzi hii ya CHAMA TAWALA hata akiwa JOE BIDEN ATASHINDWA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Anayeamini CCM ni chama "halali" cha siasa akapimwe ubongo wake.
CCM inajivunia wanachama milioni 8.
Ina maana CCM inawapiga manati kuku wao wenyewe wanaowafuga!!??
CCM ya karne ya 21 ni tofauti na CCM ya karne ya 20.
Tuliokuwa na akili timamu wakati TANU na ASP zinaungana tunaelewa nini kimetokea.
 
Unajua kuhusu MKIRU!!??
Kama hujui,endelea na "unyumbu" wako, wanaoujua ukweli walifanya juu chini kuhakikisha "sauti za wananchi" zinazimwa, mwisho wa siku walizimwa wao futi sita chini bila hata kuonekana jeneza lake likishushwa!
 
Ccm haina uwezo tena wa kushindana kwa njia ya box la kura. Na kwa taarifa hakuna mtu mwenye akili tumamu atashindwa kuwa rais wa Tanzania. Kazi ambayo JK na Magufuli nani atashindwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…