Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kulialia na tatizo moja kwa miaka30 ni wazi kabisa kwamba hamna uwezo wa kutatua tatizo lolote kwenye maisha yenu binafsi wala kwa taifa letu
Chama chochote imara chenye misingi ya kulinda wananchi na mali zao kingeungwa mkono tuu na police, majeshi na wananchi wote.
Jipangeni buana, nyie wakubwa mjue eeeh
Hata huko CCM wanakuona wewe ni condom iliyotumika. Huna faida yoyote.
Unajua kuhusu MKIRU!!??
Kama hujui,endelea na "unyumbu" wako, wanaoujua ukweli walifanya juu chini kuhakikisha "sauti za wananchi" zinazimwa, mwisho wa siku walizimwa wao futi sita chini bila hata kuonekana jeneza lake likishushwa!
Mnalilia upande gani? Sema usikike waziri wa maji yupo kufanikisha hilo usiku na mchanaMbona sisi tunalia na tatizo la maji safi miaka 60 ya uhuru sasa, na hakuna vyombo vya dola vinazuia watu kupata huduma ya maji?
Mobilization ya Dr Slaa ishukuru uungwana wa Serikali ya KikweteMobilization ya slaa ilikuwa si ya nchi hii , jamaa amsha sana
Anaupiga mwingiDkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA
FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais.
2015, Lowassa akawatembezea fedha, wakamsaliti Slaa wakaenda mtu wa CCM Tanzania (Lowassa)
2020, Tundu Lissu akatembelea upepo wa kwamba ataonewa huruma kutoka na ile kadhia ya kupigwa risasi. Lakini ukweli ni kwamba mtu yule pamoja na kuwa mwanasiasa mzuri sifa za kuwa Rais HANA.
2025 : Nani atamuweza @SuluhuSamia ubora alionao (Kila mtu anaona Mama yuko Kazini)? Labda wapate mtu mwingine toka CCM, ndani ya CHADEMA hakuna Presidential Material. Vyama vingine wapo lakini hivyo vyama baado vina safari ndefu ya kujijenga.
Unajua nyie chadema a huwa hamtaki kuambiwa ukweli! Ila kupata mtu kama dr slaa sio kazi nyepesi Lisu sio presdential material tena!Leo Police wamezuia mikutano wa cdm huko mbeya, samia mbona anawaogopa sana chadema
Hivi wewe unaamini kabisa Lisu angemshinda Magufuli kwa hali ya wakati ule Magufuli alivyokuwa anakubalika! Japo utaniona mimi Sukumagang ila hali hata ukiiona tu mtaani Magufuli hakuwa na mpinzani huyo Lisu alikuja kujifurahisha tu!Unajua kabisa kuwa uchaguzi wa 2020 hamkushinda ila mlifanya ujambazj
Wewe umezoea kupigwa mande ndiyo maana una imani ya nguvu habaCCM unakujua wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umepanick eeeeh? Yaani wewe unawaza tu kondom.... wakati nguvu zenyewe haba[emoji23][emoji23] Tehe tehe
Sawa..... kwa upande wa upinzani nani atasimama nae 2025?UPUUZI MTUPU!!! Samia AKA Chifu Hang ya na maccm ubora wao ni katika kupora chaguzi lakini kwenye uchaguzi HURU na wa HAKI ubora wao ni SIFURI ndiyo sababu wanaogopa katiba mpya ná Tume huru ya uchaguzi.
Shoga umeumia eeeeh vumilia hivyohivyo maana ushoga haujawahi lipaWewe umezoea kupigwa mande ndiyo maana una imani ya nguvu haba
Mama D, ni kweli sasa hivi hakuna chama chochote kinaweza kufanya chochote kwa CCM kwa sababu maalumu, sababu ambazo kila mtu mwenye akili timamu anazijua. Ila kama kutakuwa na Taasisi na Mihimili madhubuti za Uchaguzi, inawezekana kikawa cha tatu kwa kura halali.Hadi sasahivi hakuna chama chochote kinawezafanya chochote kwa CCM
Mama D, ni kweli sasa hivi hakuna chama chochote kinaweza kufanya chochote kwa CCM kwa sababu maalumu, sababu ambazo kila mtu mwenye akili timamu anazijua. Ila kama kutakuwa na Taasisi na Mihimili madhubuti za Uchaguzi, inawezekana kikawa cha tatu kwa kura halali.
Sikia kinanachoweza kurudisha,SSH 2025 ni namna tu ya kujua rekebisha yale viongozi wa vyama mbalimbali wanashauri hasa kwenye haki za watu ,Wala sio upambe wa kumpaka mafuta KWa mgongo wa chupaDkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA
FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais.
2015, Lowassa akawatembezea fedha, wakamsaliti Slaa wakaenda mtu wa CCM Tanzania (Lowassa)
2020, Tundu Lissu akatembelea upepo wa kwamba ataonewa huruma kutoka na ile kadhia ya kupigwa risasi. Lakini ukweli ni kwamba mtu yule pamoja na kuwa mwanasiasa mzuri sifa za kuwa Rais HANA.
2025 : Nani atamuweza @SuluhuSamia ubora alionao (Kila mtu anaona Mama yuko Kazini)? Labda wapate mtu mwingine toka CCM, ndani ya CHADEMA hakuna Presidential Material. Vyama vingine wapo lakini hivyo vyama baado vina safari ndefu ya kujijenga.
Mama D, ni kweli maendeleo huletwa na misingi ile Mwalimu JKN alitueleza: ARDHI, WATU, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA. Japo kwa kwenye miaka 1985 to 2000 sifa hizi mbili (siasa na uongozi) zilikuwa madhubuti kwa asilimia inayoridhisha kiasi, kuanzia hapo sifa hizo mbili hazikidhi matarajio tuliyojiwekea kwa mujibu wa hata kwa KATIBA tuliyonayo.Kama kutakua na vyama madhubuti vyenye misingi imara na madhubuti isiyokua na na janjajanja na ubinafsi kwa viongozi kutakua na nchi imara kama ilivyo sasa.
Wahenga wanasema heri nusu shari kuliko shari kamili