Mpinzani wa kushindana na Rais Samia 2025 labda atokee CCM

Lissu hana utulivu angekua Rais mfyatukaji sana
 
Dkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA

FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais.

2015, Lowassa akawatembezea fedha, wakamsaliti Slaa wakaenda mtu wa CCM Tanzania (Lowassa)

2020, Tundu Lissu akatembelea upepo wa kwamba ataonewa huruma kutoka na ile kadhia ya kupigwa risasi. Lakini ukweli ni kwamba mtu yule pamoja na kuwa mwanasiasa mzuri sifa za kuwa Rais HANA.

2025 : Nani atamuweza @SuluhuSamia ubora alionao (Kila mtu anaona Mama yuko Kazini)? Labda wapate mtu mwingine toka CCM, ndani ya CHADEMA hakuna Presidential Material. Vyama vingine wapo lakini hivyo vyama baado vina safari ndefu ya kujijenga.

Vipi Mr.God naye
 
Mpinzani wa kushindana na NEC,TISS na bunduki na mabomu ya polisi hayupo labda twende ki Guinea Guinea
Hiyo ni lugha ya uhaini...utashughulikiwa na wahusika...ninao uhakika saa hizi umeanza kufuatiliwa...
 
Hivi kwenye uchaguzi wa 2025 ni asilimia ngapi wataenda kupiga kura?! Kwa Hali ilivyo sasa nadhani less than 20 percent ya waliojiandikisha ndio watakaokwenda kupiga kura
 
Dkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA

FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais.

2015, Lowassa akawatembezea fedha, wakamsaliti Slaa wakaenda mtu wa CCM Tanzania (Lowassa)

2020, Tundu Lissu akatembelea upepo wa kwamba ataonewa huruma kutoka na ile kadhia ya kupigwa risasi. Lakini ukweli ni kwamba mtu yule pamoja na kuwa mwanasiasa mzuri sifa za kuwa Rais HANA.

2025 : Nani atamuweza @SuluhuSamia ubora alionao (Kila mtu anaona Mama yuko Kazini)? Labda wapate mtu mwingine toka CCM, ndani ya CHADEMA hakuna Presidential Material. Vyama vingine wapo lakini hivyo vyama baado vina safari ndefu ya kujijenga.

Mpinzani hayupo ni kweli
 
Huyo hata hajui kama yeye ni raisi,anachojua ni kusema kuhusu maumbile yake daily
 
Dkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA

FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais.

2015, Lowassa akawatembezea fedha, wakamsaliti Slaa wakaenda mtu wa CCM Tanzania (Lowassa)

2020, Tundu Lissu akatembelea upepo wa kwamba ataonewa huruma kutoka na ile kadhia ya kupigwa risasi. Lakini ukweli ni kwamba mtu yule pamoja na kuwa mwanasiasa mzuri sifa za kuwa Rais HANA.

2025 : Nani atamuweza @SuluhuSamia ubora alionao (Kila mtu anaona Mama yuko Kazini)? Labda wapate mtu mwingine toka CCM, ndani ya CHADEMA hakuna Presidential Material. Vyama vingine wapo lakini hivyo vyama baado vina safari ndefu ya kujijenga.

715423E2-51C4-4DF2-86BA-ADDE322580A5.jpeg

4449AF67-7D25-4F87-A35B-8ABD25534DBE.jpeg
 
Back
Top Bottom