Mpinzani wa kushindana na Rais Samia 2025 labda atokee CCM

Mbona sisi tunalia na tatizo la maji safi miaka 60 ya uhuru sasa, na hakuna vyombo vya dola vinazuia watu kupata huduma ya maji?
 
Hata huko CCM wanakuona wewe ni condom iliyotumika. Huna faida yoyote.

CCM unakujua wewe🤣🤣🤣 umepanick eeeeh? Yaani wewe unawaza tu kondom.... wakati nguvu zenyewe haba😂😂 Tehe tehe
 
Unajua kuhusu MKIRU!!??
Kama hujui,endelea na "unyumbu" wako, wanaoujua ukweli walifanya juu chini kuhakikisha "sauti za wananchi" zinazimwa, mwisho wa siku walizimwa wao futi sita chini bila hata kuonekana jeneza lake likishushwa!

Futi sita chini zinamhusu kila mtuu, labda wewe hukuzaliwa na mwanamke🤣🤣🤣
🦎wewe😂😂😂😂😂
 
Mbona sisi tunalia na tatizo la maji safi miaka 60 ya uhuru sasa, na hakuna vyombo vya dola vinazuia watu kupata huduma ya maji?
Mnalilia upande gani? Sema usikike waziri wa maji yupo kufanikisha hilo usiku na mchana
 
Anaupiga mwingi
 
Reactions: BAK
Leo Police wamezuia mikutano wa cdm huko mbeya, samia mbona anawaogopa sana chadema
Unajua nyie chadema a huwa hamtaki kuambiwa ukweli! Ila kupata mtu kama dr slaa sio kazi nyepesi Lisu sio presdential material tena!
 
Unajua kabisa kuwa uchaguzi wa 2020 hamkushinda ila mlifanya ujambazj
Hivi wewe unaamini kabisa Lisu angemshinda Magufuli kwa hali ya wakati ule Magufuli alivyokuwa anakubalika! Japo utaniona mimi Sukumagang ila hali hata ukiiona tu mtaani Magufuli hakuwa na mpinzani huyo Lisu alikuja kujifurahisha tu!
 
CCM unakujua wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umepanick eeeeh? Yaani wewe unawaza tu kondom.... wakati nguvu zenyewe haba[emoji23][emoji23] Tehe tehe
Wewe umezoea kupigwa mande ndiyo maana una imani ya nguvu haba
 
Reactions: BAK
UPUUZI MTUPU!!! Samia AKA Chifu Hang ya na maccm ubora wao ni katika kupora chaguzi lakini kwenye uchaguzi HURU na wa HAKI ubora wao ni SIFURI ndiyo sababu wanaogopa katiba mpya ná Tume huru ya uchaguzi.
Sawa..... kwa upande wa upinzani nani atasimama nae 2025?
 
Usiwaamini sana Watanzania! Ni wanafiki na hawatabiriki!
Ukiwaangalia yaani ni kama wanakuelewa vizuri lakini usipokuwa makini ndo hivyo imekula kwako! ccm wanawajua sana Watanzania.
Na wanajua muda wowote wanaweza kumfanya hata H. Rungwe kuwa Rais! Wao hawataki hizo swaga za presidential material!
Kama unabisha leteni Tume Huru ya uchaguzi!
 
Jibu la uharo uliouweka hapa ni rahisi tu nenda kamuulize yule Jiwe,muuaji,sadist na mtekaji kwa nini alimwogopa sana Lissu hadi kuvuruga uchaguzi kwa kuiba kura nchi nzima akikupa jibu lete mrejesho hapa.
 
Hadi sasahivi hakuna chama chochote kinawezafanya chochote kwa CCM
Mama D, ni kweli sasa hivi hakuna chama chochote kinaweza kufanya chochote kwa CCM kwa sababu maalumu, sababu ambazo kila mtu mwenye akili timamu anazijua. Ila kama kutakuwa na Taasisi na Mihimili madhubuti za Uchaguzi, inawezekana kikawa cha tatu kwa kura halali.
 

Kama kutakua na vyama madhubuti vyenye misingi imara na madhubuti isiyokua na na janjajanja na ubinafsi kwa viongozi kutakua na nchi imara kama ilivyo sasa.

Wahenga wanasema heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Sikia kinanachoweza kurudisha,SSH 2025 ni namna tu ya kujua rekebisha yale viongozi wa vyama mbalimbali wanashauri hasa kwenye haki za watu ,Wala sio upambe wa kumpaka mafuta KWa mgongo wa chupa

CCM kutawala 2025, labda Mungu ASEME vinginevyo
 
Kama kutakua na vyama madhubuti vyenye misingi imara na madhubuti isiyokua na na janjajanja na ubinafsi kwa viongozi kutakua na nchi imara kama ilivyo sasa.

Wahenga wanasema heri nusu shari kuliko shari kamili
Mama D, ni kweli maendeleo huletwa na misingi ile Mwalimu JKN alitueleza: ARDHI, WATU, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA. Japo kwa kwenye miaka 1985 to 2000 sifa hizi mbili (siasa na uongozi) zilikuwa madhubuti kwa asilimia inayoridhisha kiasi, kuanzia hapo sifa hizo mbili hazikidhi matarajio tuliyojiwekea kwa mujibu wa hata kwa KATIBA tuliyonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…