Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Kwa uchaguzi ujao Tanzania ujao huenda unayeshadadia asiwepoHata wote msipopiga kuta atashinda tu, unajipa umuhimu usiokuwa nao.
Vipi Mr.God nayeDkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA
FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais.
2015, Lowassa akawatembezea fedha, wakamsaliti Slaa wakaenda mtu wa CCM Tanzania (Lowassa)
2020, Tundu Lissu akatembelea upepo wa kwamba ataonewa huruma kutoka na ile kadhia ya kupigwa risasi. Lakini ukweli ni kwamba mtu yule pamoja na kuwa mwanasiasa mzuri sifa za kuwa Rais HANA.
2025 : Nani atamuweza @SuluhuSamia ubora alionao (Kila mtu anaona Mama yuko Kazini)? Labda wapate mtu mwingine toka CCM, ndani ya CHADEMA hakuna Presidential Material. Vyama vingine wapo lakini hivyo vyama baado vina safari ndefu ya kujijenga.
Kuna tofauti kubwa sana Kati ya Slaa na LisuHuyo slaa angegombea na Magufuri zile risasi za Lisu zingeanzia kwake
Unazungumzia kukiwa na Tume huru au hii?Hadi sasahivi hakuna chama chochote kinawezafanya chochote kwa CCM
Hiyo ni lugha ya uhaini...utashughulikiwa na wahusika...ninao uhakika saa hizi umeanza kufuatiliwa...Mpinzani wa kushindana na NEC,TISS na bunduki na mabomu ya polisi hayupo labda twende ki Guinea Guinea
Mpinzani hayupo ni kweliDkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA
FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa. Slaa ndiye Mchadema pekee aliyekuwa na kila sifa kuwa Rais.
2015, Lowassa akawatembezea fedha, wakamsaliti Slaa wakaenda mtu wa CCM Tanzania (Lowassa)
2020, Tundu Lissu akatembelea upepo wa kwamba ataonewa huruma kutoka na ile kadhia ya kupigwa risasi. Lakini ukweli ni kwamba mtu yule pamoja na kuwa mwanasiasa mzuri sifa za kuwa Rais HANA.
2025 : Nani atamuweza @SuluhuSamia ubora alionao (Kila mtu anaona Mama yuko Kazini)? Labda wapate mtu mwingine toka CCM, ndani ya CHADEMA hakuna Presidential Material. Vyama vingine wapo lakini hivyo vyama baado vina safari ndefu ya kujijenga.
Ikiwa pia katika wawili watakao patikana mzee wa bakora chali, na msaidizi wake Chali.Bila wizi wa kura CCM mtapata wabunge wawili tuu
Dkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA