Mpira leo naona utaitendea haki Arsenal: Itapata ubingwa ikiwa imekaa sebuleni!

Mpira leo naona utaitendea haki Arsenal: Itapata ubingwa ikiwa imekaa sebuleni!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Imepita zaidi ya miaka 20 tangu Arsenal iteae ubingwa wa ligi kuu nchini Uingereza. Pamoja na kucheza soka safi la kuburudisha huwa wanaishia kunawa tu! Lakini hatimaye inaelekea soka linaenda kuitendea haki Arsenal itwae ubingwa ikiwa nje ya uwanja. Hadi muda huu Man city kachapwa 1-0. Matokeo yakibaki hivi Arsenal itatangaza ubingwa usiku huu ikiwa nje ya uwanja. .imi siyo mshabiki wa Arsenal lakini huwa wanatia huruma sana kuishia kunawa!
 
Man city wamesawazisha, lakini hata hata sare itatosha kuwapa ubingwa nje ya uwanja! Halafu muda huu ni wa dakika za nyongeza!
 
Back
Top Bottom