Mpira ni fedha na mali: Orodha ya clubs zilizoingiza fedha ndefu 2020/21

Unajua lakini kwamba MO anaweka karibibia Bilion 4 kwa msimu. Mbaka Sasa Simba Kama Klabu Haina mapato yoyote yanayo weza kuingiza bilion 2 kwa msimu. MO anatoa fedha mfukoni mwake kwa maana iyo Simba inaendeshwa kwa Hasara. Je! MO atavumilia kwa muda gani kupata Hasara ni Jambo la muda tu.
 
Mo anafanya biashara ya matangazo kwenye jersey ya Simba. Kwahiyo hapo tunaita win win situation.
 
lete na hesabu ya mauzo ya bidhaa za Mo kupitia matangazo ya Simba. Mo anajua anachofanya,halafu uwekezaji sio lazima ulipe ghafla
 
Umesahau mkuuu Yanga iliyoambulia ml 15 za kombe la mapinduzi inawekeza ml 2.6 kwa mwaka hivyo ina faida ya karibu mil 12 mpaka sasa
 
Unaweza kuwekeza pesa kwenye biashara alafu returns ukaziona baada ya miaka kadhaa.
Tangia Simba walivyoanza ku-brand bidhaa za MO,Mo keshapiga hela ya kutosha kupitia matangazo ya bidhaa zake kwenye jezi za Simba.
 
Kwani ww inakuhusu nn nyumba usieijua ishia kutazama kwa nje tu inatosha
 
Sisi ni timu ya wananchi hatutaki na hatuitaji pesa za bure bure..
#daimaMbeleMwikoNyuma.
 
Acha uongo, juzi kwenye Kikao chao wamesoma ripoti ya fedha wamesema waliingiza 4bil MO alitoa 2bil

Mwaka huu wataingiza 5.4 Mo atachangia 1.2bil
Ila wakiingia Robo MO hatoi kitu na hilo ndio litakuwa lengo la Simba na Mo

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Tulia sindano ikuingie..dawa ifanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…