Mpira ni mchezo wa mipango na mikakati, sio hamasa na siasa.

Mpira ni mchezo wa mipango na mikakati, sio hamasa na siasa.

Utopologist

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2021
Posts
998
Reaction score
2,506
Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana.

Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
 
Kama serikali/Sisiemu wana genuine interest ya kuendeleza soka la Tanzania

1. wajenge viwanja vyenye hadhi ya kuchezewa mechi za CAF kila halmashauri/manispaa

2. Watengeneze pitch 10000 hadi 15000 nchi nzima kukuza soka la vijana

3. Wawekeze kutrain makocha 20000 hadi 25000 ili kutumika kuendeleza soka la vijana
 
Nakazia hoja.[emoji3578][emoji3578]
 
Mijini hakuna viwanja, serikali za mitaa wameuza karibu vyote.

Hakuna makocha wenye taaluma ya soka la vijana.

Sijawahi kusikia hata mwanasiasa mmoja akiliongelea hili
 
Timu ya taifa au vilabu vikifanya vizuri wanajitokeza kutoa hamasa, wakifanya vibaya TFF analaumiwa.
 
Yalishasemwa na kocha wa Uganda, baada ya kucheza na Tanzania na kutufunga. Alipoulizwa na mwandishi wa habari kuwa Tanzania walikosea wapi mpaka mkaweza kuwafunga, kocha alijibu Tanzania wamewekeza zaidi kwenye hamasa kuliko mbinu za kimpira
 
Back
Top Bottom