Utopologist JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 998 Reaction score 2,506 May 29, 2023 #1 Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana. Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
Mpaka tutambue hili, hakuna maendeleo ya maana kisoka yatapatikana. Matokeo ya jana pamoja na Taifa Stars v Uganda mwezi uliopita ilikuwa ni funzo lakini bado hatutaki kuelewa.
Utopologist JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 998 Reaction score 2,506 May 29, 2023 Thread starter #2 Kama serikali/Sisiemu wana genuine interest ya kuendeleza soka la Tanzania 1. wajenge viwanja vyenye hadhi ya kuchezewa mechi za CAF kila halmashauri/manispaa 2. Watengeneze pitch 10000 hadi 15000 nchi nzima kukuza soka la vijana 3. Wawekeze kutrain makocha 20000 hadi 25000 ili kutumika kuendeleza soka la vijana
Kama serikali/Sisiemu wana genuine interest ya kuendeleza soka la Tanzania 1. wajenge viwanja vyenye hadhi ya kuchezewa mechi za CAF kila halmashauri/manispaa 2. Watengeneze pitch 10000 hadi 15000 nchi nzima kukuza soka la vijana 3. Wawekeze kutrain makocha 20000 hadi 25000 ili kutumika kuendeleza soka la vijana
mcTobby JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 4,072 Reaction score 12,119 May 29, 2023 #3 Utopologist said: Kama serikali/Sisiemu wana genuine interest ya kuendeleza soka la Tanzania 1. wajenge viwanja vyenye hadhi ya kuchezewa mechi za CAF kila halmashauri/manispaa 2. Watengeneze pitch 10000 hadi 15000 nchi nzima kukuza soka la vijana 3. Wawekeze kutrain makocha 20000 hadi 25000 ili kutumika kuendeleza soka la vijana Click to expand... Nakazia hoja.[emoji3578][emoji3578]
Utopologist said: Kama serikali/Sisiemu wana genuine interest ya kuendeleza soka la Tanzania 1. wajenge viwanja vyenye hadhi ya kuchezewa mechi za CAF kila halmashauri/manispaa 2. Watengeneze pitch 10000 hadi 15000 nchi nzima kukuza soka la vijana 3. Wawekeze kutrain makocha 20000 hadi 25000 ili kutumika kuendeleza soka la vijana Click to expand... Nakazia hoja.[emoji3578][emoji3578]
Utopologist JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 998 Reaction score 2,506 May 29, 2023 Thread starter #4 Mijini hakuna viwanja, serikali za mitaa wameuza karibu vyote. Hakuna makocha wenye taaluma ya soka la vijana. Sijawahi kusikia hata mwanasiasa mmoja akiliongelea hili
Mijini hakuna viwanja, serikali za mitaa wameuza karibu vyote. Hakuna makocha wenye taaluma ya soka la vijana. Sijawahi kusikia hata mwanasiasa mmoja akiliongelea hili
Utopologist JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 998 Reaction score 2,506 May 29, 2023 Thread starter #5 Timu ya taifa au vilabu vikifanya vizuri wanajitokeza kutoa hamasa, wakifanya vibaya TFF analaumiwa.
N Noti bandia JF-Expert Member Joined May 3, 2020 Posts 2,684 Reaction score 4,315 May 29, 2023 #6 Yalishasemwa na kocha wa Uganda, baada ya kucheza na Tanzania na kutufunga. Alipoulizwa na mwandishi wa habari kuwa Tanzania walikosea wapi mpaka mkaweza kuwafunga, kocha alijibu Tanzania wamewekeza zaidi kwenye hamasa kuliko mbinu za kimpira
Yalishasemwa na kocha wa Uganda, baada ya kucheza na Tanzania na kutufunga. Alipoulizwa na mwandishi wa habari kuwa Tanzania walikosea wapi mpaka mkaweza kuwafunga, kocha alijibu Tanzania wamewekeza zaidi kwenye hamasa kuliko mbinu za kimpira