Wewe toto pendwa ya JF kwa nini unaedit comment zangu?!😁😁😁Sawa...
Hahahahaaaaaa...Wameibuka watu siku hizi wanasema mpira ni science
Hivi umekunywa k vant ngapi we mzeeWameibuka watu siku hizi wanasema mpira ni science sasa tafuta definition ya science huenda tukapata jibu.
Mpira wetu hauna akili kivipi mzee baba? Unaweza kufafanua vizuri zaidi mkuu?Afrika tuna talent ila tuna mpira wa kijinga sana, yaani mpira wetu hauna akili.
Watu bado wanacheza mpira usio na malengo, chenga nyingi, striker anataka kuwa na mbwembwe akiwa na kipa yaani atataka kupiga chenga hata kipa. uchawi wa kuua vipaji vya wachezaji wa ukweli na kuwaacha wasanii wacheze matokeo yake tunabaki kuwa kicheko tu. Angalia Simba na Yanga, very useless.....eti mchezaji anastaafu soka kuanzia miaka 25 mpaka 28 wakati umri huu ndiyo yuko kwenye peak. Yaani uchawi ukimwishia tu mwilini naye anastaafu soka at a younger age.Mpira wetu hauna akili kivipi mzee baba? Unaweza kufafanua vizuri zaidi mkuu?
Kombe la Dunia la wanawake USA wamechukua mara nyingiUSA mpira wa miguu sio kipaumbele chao
Sawa mkuu. Sasa mbona la wanaume limewashinda kuchukua mpaka?Kombe la Dunia la wanawake USA wamechukua mara nyingi
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mkuu, mbona Messi niliwahi kuona clip yake moja alipiga chenga kuanzia katikati ya uwanja mabeki wote hadi kipa golini?...Watu bado wanacheza mpira usio na malengo, chenga nyingi, striker anataka kuwa na mbwembwe akiwa na kipa yaani atataka kupiga chenga hata kipa. uchawi wa kuua vipaji vya wachezaji wa ukweli na kuwaacha wasanii wacheze matokeo yake tunabaki kuwa kicheko tu.
Yeah USA Wana football Yao (american football-NFL)USA mpira wa miguu sio kipaumbele chao
USA mpira wa miguu sio kipaumbele chao
Kwanini?
Lazima uelewe marekani sio pekeyao wana pesa, kwahiyo kombe la wanaume limechukuliwa na wenye pesa wenzaoSawa mkuu. Sasa mbona la wanaume limewashinda kuchukua mpaka?
USA hawapendi mpira, nafatiliaga sana comment zao kwenye page ya espn, ikipostiwa habari ya mpira wanaponda sana, wanaita 'boring sport' na ni mchezo wa maskiniKwanini?