sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu,
Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje.
Ningependa mnijuze haya..
- Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa,
- Ataanzia wapi na atatumia kipindi kipi mpaka aje kuchezesha mechi za ligi kuu
- Maslahi yao yapoje, mshahara, posho, n.k
- Vitu gani vingine vya ziada ajipange