Mpira: Ni utaratibu upi wa kupata sifa ya kuajiriwa kuwa refa ama mshika kibendera, Maslahi ya kazi yapoje, vitu gani vya ziada vizingatiwe?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu,

Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje.
Ningependa mnijuze haya..

- Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa,

- Ataanzia wapi na atatumia kipindi kipi mpaka aje kuchezesha mechi za ligi kuu

- Maslahi yao yapoje, mshahara, posho, n.k

- Vitu gani vingine vya ziada ajipange
 
Wakikujibu unitag mkuu!
 
Kama hana connection ni bora akalime matikiti
 
Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu,

Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje.
Ningependa mnijuze haya..

- Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa,

- Ataanzia wapi na atatumia kipindi kipi mpaka aje kuchezesha mechi za ligi kuu

- Maslahi yao yapoje, mshahara, posho, n.k

- Vitu gani vingine vya ziada ajipange
Hiyo naisi sio kazi hapa bongo hicho ni kibarua ukichezesha mechi unapata chaka.ujachezesha imekula kwako wacha tu mwambie huyo ndg tuje tuvue NDOBE
 
HAHAAAA SIO BONGO REFA USHAEAHI ONA NAFASI ZA KAZI ZIMETANGAZWA
 
Back
Top Bottom