Mpira Pesa: CRDB ni Official Simba Day partner

Sentence yako hiyo inamaanisha crdb wamechagua simba tu so hapo tulikuwa tunakusahihisha kuwa hata yanga wamesaini
Naona umewapanikisha ghafla! Walishaanza zile tambo zao. Kumbe Wananchi kitambo tu, halafu wametulia kimya.
 
Simba SC huwa tunatazama mbele sana, ushabiki maandazi hatuna kabisa..

Ndio maana tunatambulika kimataifa.

Najua Utopolo wako busy wanatafuta visingizio vya kupinga na hii.
 
Barbra ndie mtendaji wa Simba SC na tukio kama hili la leo ndio linathibitisha vile Simba SC inavyoendeshwa kitaalamu.

Sio kama kule utopoloni ambapo Senzo alikimbia ufundi Msimbazi akakimbilia matope utopolo matokeo yake vikamshinda akasepa.
 
Hakuna issue ya maana hapo.

Karibu kila timu inaingia mkataba na makampuni mbali mbali.

Ni jambo la kawaida sana.

Watu wenye akili walipaswa kuhoji, pesa za hiyo mikataba huwa zinakwenda kufanyia nini?
 
Acha kutetea upumbavu ulikurupuka kuandika bila kujua the same contract ulishasainiwa na crdb na yanga
sina muda wa kuilinganisha Simba dhidi ya Utopolo. Siko tayari kuvuna hiyo aibu
 
Sasa mbona kuna wenzako wanadai Yanga ndio ilikuwa ya kwanza kusaini hilo dili siku kadhaa zilizopita?
Yanga toka tarehe 1 walitangaza huo udhamini,nikupe tu kidogo mkurugenzi wa crdb ni Yanga kindaki ndaki na yupo kwenye baadhi ya kamati,inaonekana kuweka mizani sawa akaonelea azishirikishe timu zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…