Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,033
- 8,805
Wewe ni MBUMBUMBU na ukoo wenu wote
Kisa kukosa ukarani wa Sensa ndo uwe na hasira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni MBUMBUMBU na ukoo wenu wote
So what???Crdb wamesaini huo mkataba na Yanga kitambo tu
Kwa hiyo sentensi imekutoa kinyesi?Crdb wameona n muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua simba sababu wameona ukubwa wao[emoji1787]tafakati hiyo sentence yako
itakusaidia nini ukishajua? ushindani mwingine wa ajabu!!Tuambieni dau mlilopewa
Naona umewapanikisha ghafla! Walishaanza zile tambo zao. Kumbe Wananchi kitambo tu, halafu wametulia kimya.Sentence yako hiyo inamaanisha crdb wamechagua simba tu so hapo tulikuwa tunakusahihisha kuwa hata yanga wamesaini
Mkataba wa faragha kwenye soka ndio nini utafikiri mmesaini na kampuni la chupi?itakusaidia nini ukishajua? ushindani mwingine wa ajabu!!
Mashindano mengine ya kijinga sana....🤣🤣🤣🤣🤣 Tanzania katuroga nani???😭😭😭...kuna mashindano ya ujanja hapa? Simba inashindana malengo yake haishindani na mtu. Nawasihi sana kuficha ujinga (sio tusi)
Mkataba wa faragha kwenye soka ndio nini utafikiri mmesaini na kampuni la chupi?
Ndo maana hawajaenda kwa mtibwa, wameenda na timu kubwa na chini ya mkubwakwa hiyo kama CRDB wangesaini mtibwa then Simba,ingemaanisha Mtibwa ni kubwa au sio?!
Sasa mbona kuna wenzako wanadai Yanga ndio ilikuwa ya kwanza kusaini hilo dili siku kadhaa zilizopita?
Acha kutetea upumbavu ulikurupuka kuandika bila kujua the same contract ulishasainiwa na crdb na yangakwa hiyo kama CRDB wangesaini mtibwa then Simba,ingemaanisha Mtibwa ni kubwa au sio?!
sina muda wa kuilinganisha Simba dhidi ya Utopolo. Siko tayari kuvuna hiyo aibuAcha kutetea upumbavu ulikurupuka kuandika bila kujua the same contract ulishasainiwa na crdb na yanga
Yanga toka tarehe 1 walitangaza huo udhamini,nikupe tu kidogo mkurugenzi wa crdb ni Yanga kindaki ndaki na yupo kwenye baadhi ya kamati,inaonekana kuweka mizani sawa akaonelea azishirikishe timu zoteSasa mbona kuna wenzako wanadai Yanga ndio ilikuwa ya kwanza kusaini hilo dili siku kadhaa zilizopita?