Mpira Pesa: CRDB ni Official Simba Day partner

Mpira Pesa: CRDB ni Official Simba Day partner

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
20220803_18122279778.jpg
CRDB ni official Simba Day partner

"CRDB wameona ni muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua Simba sababu wanaona ukubwa wa Simba."

"Tunawashukuru CRBD kuwekeza kwenye Simba Day, najua huu ni mwanzo. Tunatamani siku moja kuwaona hata kwenye jezi. Baada ya Simba Day kuna CRDB Marathon na sisi tutashiriki."

"Hata kama kampuni haina rangi nyekundu, tuko tayari kufanya nayo kazi, tunaheshimu brand, hatuwezi kubadilisha rangi ya logo yao."- CEO Barbara Gonzalez

My Take
Sisi hatuangalii Rangi, kama kanuni zingeruhusu hata Utopolo mngeleta hela muweke tangazo lenu
 
Crdb wameona n muhimu kuwekeza kwenye michezo na wamechagua simba sababu wameona ukubwa wao[emoji1787]tafakati hiyo sentence yako
kwa hiyo kama CRDB wangesaini mtibwa then Simba,ingemaanisha Mtibwa ni kubwa au sio?!
 
Back
Top Bottom