Mpira ulivyo jaa midonini mwa watu mpaka keroooo

Mangi shangali

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
533
Reaction score
820
Kwanzia baba mama mpaka watoto wanabet.
Kama una bet basi akili zako pia za kubet.

Samahani jamani sijaamanisha kuwa tusi..
 
Yuz yua brein
FB_IMG_16436356877919185.jpg
 
Hata kama amendika vibaya lakini ujumbe umefika. Tanzania yetu imetawakiwa na mpira, mpira, mpira.
Redio zetu zetu kutwa nzima ni mpira. Betting nazo ni mpira. Vijana wanashinda kwenye betting mpira.
Nikidhani ni nchi zote.
Kenya, hawajui hata ligi ya uingereza inaendaje. Hakuna redio au tv inazungumzia mpira. Huwezi kukuta watu wamekusanyika kuangalia mpira.
Tujitafakari.
 
Mkuu kwahiyo tuhamie Kenya!?
 
Tunabeti sawa lakini tuko na mishe zinazotuingizia kipato mzee..sie wengine tumeajiri.usishindane na sisi nyuma ya keyboard.
 
Watu hawajadili ya maana.
Kila kukicha saido na mayele
Yani mambo ya msingi kama bandari inauzwa hawajadili hayo.
Mida hii karume watu wamejaa ni kahawa na mpira siku nzima.
Hivi kweli tutafika kuitwa great national:??

Vijana sisi ndo tunaweza kubadilisha haya mambo:wazee wetu hawakuishi hivi ndo maana taifa limesimama mpaka leo.
Tujadili ya msingi,mpira unadhoofisha ubongo kufikiria mengine:
Taifa kama hili kuendelea ni ngumu maana tumeweka mpira mbele:
Tumemsahau MUNGU,
Ukifungua redio tu mpira mpira mpira hivi kweli tutafika??
 
Hata kama amendika vibaya lakini ujumbe umefika. Tanzania yetu imetawakiwa na mpira, mpira, mpira.
Redio zetu zetu kutwa nzima ni mpira. Betting nazo ni mpira. Vijana wanashinda kwenye betting mpira.
Nikidhani ni nchi zote.
Kenya, hawajui hata ligi ya uingereza inaendaje. Hakuna redio au tv inazungumzia mpira. Huwezi kukuta watu wamekusanyika kuangalia mpira.
Tujitafakari.
tulia wewe, mpira ni pesa,nyuma ya mpira kuna ajira nyingi xana na pesa nyingi sana hapa tz, ndio maana sikushangaa kuona azam tv anaweka mabillion ya pesa kwenye mpira au magufuli kupiga ban leseni zote kwa makampuni ya betting
 
Hata kama amendika vibaya lakini ujumbe umefika. Tanzania yetu imetawakiwa na mpira, mpira, mpira.
Redio zetu zetu kutwa nzima ni mpira. Betting nazo ni mpira. Vijana wanashinda kwenye betting mpira.
Nikidhani ni nchi zote.
Kenya, hawajui hata ligi ya uingereza inaendaje. Hakuna redio au tv inazungumzia mpira. Huwezi kukuta watu wamekusanyika kuangalia mpira.
Tujitafakari.
Kenya ya wapi hiyo acha porojo
 
Msimu wa mpira umeisha utaenjoy tu punguza jazba

Ila pesa ya mtu mwingne inakukela nn aisee katafta mwenyewe ww uje umpangie
Ww yako unayopeleka mazabauni na viongozi wa dini wanafanyia ufuska
 
Wewe komaa
Shindwa pepo
 
Hata kama amendika vibaya lakini ujumbe umefika. Tanzania yetu imetawakiwa na mpira, mpira, mpira.
Redio zetu zetu kutwa nzima ni mpira. Betting nazo ni mpira. Vijana wanashinda kwenye betting mpira.
Nikidhani ni nchi zote.
Kenya, hawajui hata ligi ya uingereza inaendaje. Hakuna redio au tv inazungumzia mpira. Huwezi kukuta watu wamekusanyika kuangalia mpira.
Tujitafakari.
Kuna nchi hapa EA ina ufuasi wa EPL kushinda Kenya?

Hapa umejiropokea tu.
 
Back
Top Bottom