Mkaldayo inakuwaje?Kuna nchi hapa EA ina ufuasi wa EPL kushinda Kenya?
Hapa umejiropokea tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkaldayo inakuwaje?Kuna nchi hapa EA ina ufuasi wa EPL kushinda Kenya?
Hapa umejiropokea tu.
Kenya ipi unaongelea we jamaa,Kenya mjini Nairobi watu wanabet mbayaaaHata kama amendika vibaya lakini ujumbe umefika. Tanzania yetu imetawakiwa na mpira, mpira, mpira.
Redio zetu zetu kutwa nzima ni mpira. Betting nazo ni mpira. Vijana wanashinda kwenye betting mpira.
Nikidhani ni nchi zote.
Kenya, hawajui hata ligi ya uingereza inaendaje. Hakuna redio au tv inazungumzia mpira. Huwezi kukuta watu wamekusanyika kuangalia mpira.
Tujitafakari.
Hii Kenya unayojaribu kuizungumzia hapa ni ya kufikirika, tofauti na uhalisia.Hata kama amendika vibaya lakini ujumbe umefika. Tanzania yetu imetawakiwa na mpira, mpira, mpira.