Mangi shangali
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 533
- 820
Badirisha Jina, ondoa hio 'boe' na usiitumie tena nakwambia kwa nia njema tuJifunze kuandika, halafu inaonekana una mwandiko mbaya.
Haujaeleweka
Mmh! kwanini mkuu?Badirisha Jina, ondoa hio 'boe' na usiitumie tena nakwambia kwa nia njema tu
Sadaka hazitoshi mwache Mchungaji ajazilizie pale palipo pwayaYuz yua brein
View attachment 2654468
Mkuu kwahiyo tuhamie Kenya!?Hata kama amendika vibaya lakini ujumbe umefika. Tanzania yetu imetawakiwa na mpira, mpira, mpira.
Redio zetu zetu kutwa nzima ni mpira. Betting nazo ni mpira. Vijana wanashinda kwenye betting mpira.
Nikidhani ni nchi zote.
Kenya, hawajui hata ligi ya uingereza inaendaje. Hakuna redio au tv inazungumzia mpira. Huwezi kukuta watu wamekusanyika kuangalia mpira.
Tujitafakari.
Ni sawa niliandika haraka ila ujumbe umefikaJifunze kuandika, halafu inaonekana una mwandiko mbaya.
Haujaeleweka
tulia wewe, mpira ni pesa,nyuma ya mpira kuna ajira nyingi xana na pesa nyingi sana hapa tz, ndio maana sikushangaa kuona azam tv anaweka mabillion ya pesa kwenye mpira au magufuli kupiga ban leseni zote kwa makampuni ya bettingHata kama amendika vibaya lakini ujumbe umefika. Tanzania yetu imetawakiwa na mpira, mpira, mpira.
Redio zetu zetu kutwa nzima ni mpira. Betting nazo ni mpira. Vijana wanashinda kwenye betting mpira.
Nikidhani ni nchi zote.
Kenya, hawajui hata ligi ya uingereza inaendaje. Hakuna redio au tv inazungumzia mpira. Huwezi kukuta watu wamekusanyika kuangalia mpira.
Tujitafakari.
Kenya ya wapi hiyo acha porojoHata kama amendika vibaya lakini ujumbe umefika. Tanzania yetu imetawakiwa na mpira, mpira, mpira.
Redio zetu zetu kutwa nzima ni mpira. Betting nazo ni mpira. Vijana wanashinda kwenye betting mpira.
Nikidhani ni nchi zote.
Kenya, hawajui hata ligi ya uingereza inaendaje. Hakuna redio au tv inazungumzia mpira. Huwezi kukuta watu wamekusanyika kuangalia mpira.
Tujitafakari.
Wewe komaaMsimu wa mpira umeisha utaenjoy tu punguza jazba
Ila pesa ya mtu mwingne inakukela nn aisee katafta mwenyewe ww uje umpangie
Ww yako unayopeleka mazabauni na viongozi wa dini wanafanyia ufuska
Kuna nchi hapa EA ina ufuasi wa EPL kushinda Kenya?Hata kama amendika vibaya lakini ujumbe umefika. Tanzania yetu imetawakiwa na mpira, mpira, mpira.