Hata kama amendika vibaya lakini ujumbe umefika. Tanzania yetu imetawakiwa na mpira, mpira, mpira.
Redio zetu zetu kutwa nzima ni mpira. Betting nazo ni mpira. Vijana wanashinda kwenye betting mpira.
Nikidhani ni nchi zote.
Kenya, hawajui hata ligi ya uingereza inaendaje. Hakuna redio au tv inazungumzia mpira. Huwezi kukuta watu wamekusanyika kuangalia mpira.
Tujitafakari.