Licha ya ushiriki wenu ngazi ya kimataifa Yanga inashika nafasi ya 330 jambo ambalo ni aibu kubwa kwa taifa la wapenda soka Tanzania, nadhani tukiwaachia hii nafasi mwaka huu mtazidi kutuaibisha kimataifa zaidi ndio maana tunawakazia, tambua Simba ilipotea kimataifa baada ya kuwapa vijana nafasi tofauti na nyie mnaokumbatia wazee hah hah kazi mnayoookama tunatia aibu ujue mngeenda nyie ndo mngetia aibu zaidi sie tunashirik sababu hakuna kama sisi kiubora tanzania
nyie wenyewe mara mwisho kushiriki mlipigwa 5-1 na el hadood
Mnapishwaje kwa mfano sasa? Kama ya ndani yanawashinda, nje mtaweza nyie? Fanyeni vizuri ya ndani, mshinde kwa halali, muende kutuwakilisha michuano ya kimataifa.hah hah unanichekesha sana mkuu, ndio maana ya kuwepo kwa sheria na kanuni zinazosimamia soka hapa nchini! Sheria zimewekwa ili zifuatwe aisee...mbona nyie hamjawaomba radhi watanzania kwa kuiangusha Tanzania viwango Caf ngazi ya club, kila mwaka ni aibu tu duh, hebu tupisheni na sisi tuwaoneshe mpira unavyochezwa ngazi ya kimataifa, chura ni chura tu hah hah
Hata sisi simba tuliwafunga Kagera 2-1 lakini TFF wakatupora ushindiMpira umekwishaaaaaaaa aaaaaaaaa
Yanga 2-1 KGS ....
Pongezi kwa wana jangwani Wote popote mlipo
Sio mezanKabisa na siku zote soka kwetu linachezwa uwanjani
BoraKadi Nyekundu Mbaraka Yusufu.... Kagera wanapata kadi ......dak 87
ni kweli mkuu hawa rufaa FC ni shidaHata sisi simba tuliwafunga Kagera 2-1 lakini TFF wakatupora ushindi
DAIMA MBELEEEEEEE [emoji485][emoji485][emoji485][emoji485][emoji485][emoji485]Na mpiraaaaaaa umekwishaaaa.
Yanga moja kwa moja kileleni mwa ligi kuu.
Leo Yanga wamecheza mpira mzuri haijapata kutokea.
Hongereni Wanayanga Wote,anzeni kushona suti za kusherehekea ushindi hahaha.
Daima Mbele,daima ushindi.
Cheers [emoji485]
Ahsante. Waliozowea point za mezani watafute panadol wanywe.Mpira umekwishaaaaaaaa aaaaaaaaa
Yanga 2-1 KGS ....
Pongezi kwa wana jangwani Wote popote mlipo
ntamaholo Mbao tunambeba tunakimbia naye hah hah ushindi asubuhi kabisa, halafu nikuweke wazi tu kwamba, usifikiri Caf au Fifa huwa wanapindisha mambo, kama ipo ipo tu, let's just wait and watch' Simba tumeamuaaaa...liwake jua inyeshe mvua ubingwa lazima...Mnapishwaje kwa mfano sasa? Kama ya ndani yanawashinda, nje mtaweza nyie? Fanyeni vizuri ya ndani, mshinde kwa halali, muende kutuwakilisha michuano ya kimataifa.
Na msingoje huruma hapa, hata mbao wanaweza fanya yao
Hahahaa. Halafu hawaonagi aibu, hivi hujashinda uwanjani unatakaje alama tatu.Mliwafunga Mezani uwanjani.?
Sasa ndugu yangu ubingwa wa kuombaomba nao ni ubingwa? Ubingwa upatie uwanjani.ntamaholo Mbao tunambeba tunakimbia naye hah hah ushindi asubuhi kabisa, halafu nikuweke wazi tu kwamba, usifikiri Caf au Fifa huwa wanapindisha mambo, kama ipo ipo tu, let's just wait and watch' Simba tumeamuaaaa...liwake jua inyeshe mvua ubingwa lazima...
Siku zote daima mbeleYanga wanashinda uwanjani sio wale wengine wanaotaka kushinda mezani......Yanga Juuuuuu zaidi.