Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

WAMERUDISHA???
 
Enjoy...
idawa + Nifah ni zaidi ya livescore hahaha

Hasa usiombee tuwe mbele kama leo,utaipenda JF.
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Naona umenionyesha namna gan una Mahaba na yanga, saafi ila angalia usije ukatuambia SISI mbili WAO moja!
 
Simba ni taasisi, ni club ya wanachama wanaojitambua na kusimamia weledi wa kiuongozi, mpaka tunafikia hatua hiyo fahamu fika tumejipanga na kwa kifupi tu, liwake jua inyeshe mvua ubingwa mwaka huu unakwenda Msimbazi..just take my word..
Endelea kuota hivyo hivyo
 
Naam,ushindi muhimu ila imagine tungekuwa mbele walau kwa magoli 3-1 tungeondoa pressure ya Kagera kusawazisha.
Anatufanya tukose kujiamini....
 
Namna gani Chirwa na Msuva jamani?
Mnatunyima raha....
 
Dak 71 Bado 2-1....... Yanga inashambulia sana ......Tambwe anakosa goli Kaseja anaokoa.
 
Afu #Nifah# na #Idawa# mjaribu kubalance mchezo mbonaa mnatoa updates ZENU tu kwan KAGERA SUGAR hawafiki golini????
 
Mwenye grp la wanajangwani wsp plz add me..

0764319884
 
Kivyovyote lazima tuongeze goli la 3,namna hii hatuna uhakika wa ushindi kwa 100%.
Go Yanga [emoji123]
 
Dak 74 Yondani anapata kadi ya njano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…