Malata Junior
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 3,104
- 2,550
Nashauri matopeni wacheze mpira kama Yanga wasililie pointi za mezani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaee! angalau yakiwa hata magoli matatu kwa sababu saa nyingine tofauti ya goli moja haina muamana.Msuva anatakiwa aongeze umakini kwakweli,tusingekuwa na pressure saa hizi.
WAMERUDISHA???Ni mpambano wa Ligi kuu Vodacom... mpambano ndio umeanza dak ya 6....
Azam Spots HD wako live.!
Yanga 1-0 KGS
Msuva dak ya 39.
Yanga 1-1 KGS
Mbaraka Yusufu dak ya 48 kipindi cha kwanza.
Kipindi cha kwanza kimeisha mpira ni 1-1 mapumziko.
Kipindi cha pili kimeanza.
Yanga 2-1 Kagera
Dak 52 Chirwa anaiandikia Yanga gili la pili.
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Enjoy...
idawa + Nifah ni zaidi ya livescore hahaha
Hasa usiombee tuwe mbele kama leo,utaipenda JF.
Chirwa angekuwa makini tungekuwa tunaserebuka saa hizi.Duh goal kick......Yanga wanakosa hapa
Endelea kuota hivyo hivyoSimba ni taasisi, ni club ya wanachama wanaojitambua na kusimamia weledi wa kiuongozi, mpaka tunafikia hatua hiyo fahamu fika tumejipanga na kwa kifupi tu, liwake jua inyeshe mvua ubingwa mwaka huu unakwenda Msimbazi..just take my word..
HahahaaaLabda saa tatu Usiku kwenye Clouds.!
Bado magoli ni 2-1WAMERUDISHA???
Msuva aondoke tuNifah huyu msuva anatucheleweshea kumaliza game hii