Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Timu ndio zinaingia uwanjani kwa kumalizia ngwe ya Mwisho.!
 
dak ya 47 kipindi cha pili ngoma moja moja.
 
Mchezaji wa kagera yupo chini anagangwa gangwa pale .....anatolewa nje kwa machela.
 
Dak ya 52 Moja moja bado.
 
Gooooooooooooooo Chirwa anaua hapa akipewa pasi mrua na Haruna Niyonzima.

Yanga 2 kagera 1..

Yanga wanatakata Hapa.
 
Goallllllllllll
Chirwa
Yanga 2-1 Kagera.
Hii ndio Yanga bwana.
Shukraan za dhati kwa Haruna Niyonzima.
 
Huyu Haruna Niyonzima angekuwa mbele huko angefika mbali sana.
Huyu jamaa anacheza hadi najisikia vibaya kwa yeye kuchezea ligi ya VPL.

Akili na anavyoweza kumiliki mpira...namuona Legend Zinedine Zidane katikati ya miguu ya Niyonzima [emoji119]
 
dak ya inaenda ya 59 kagera wanafanya mabadiliko.
 
Huyu Haruna Niyonzima angekuwa mbele huko angefika mbali sana.
Huyu jamaa anacheza hadi najisikia vibaya kwa yeye kuchezea ligi ya VPL.

Akili na anavyoweza kumiliki mpira...namuona Legend Zinedine Zidane katikati ya miguu ya Niyonzima [emoji119]
Una akili ya mpira....
 
Back
Top Bottom