OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Simba inajua kuibua vipaji sanaKiukweli katika vijana wanaostahili kuendelezwa ni Mbaraka Yusuph.Huyu anaweza kuja kuipaisha Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba inajua kuibua vipaji sanaKiukweli katika vijana wanaostahili kuendelezwa ni Mbaraka Yusuph.Huyu anaweza kuja kuipaisha Tanzania.
Kabisa kabisa mkuu.Leo point 3 tunabeba
Ilikuwa ndoto yangu tokea nilipokuwa mdogo,nilitamani kuwa kocha au mchambuzi wa soka mahiri.Apply u kocha
Yanga tunajua namna ya kumaliza mchezo.Yanga mbili
Gooooooooooooooo Chirwa anaua hapa akipewa pasi Haruna Niyonzima.
Yanga 2 kagera 1..
Yanga wanatakata Hapa.
Kabisa mumy. Hii ndio yanga.Goallllllllllll
Chirwa
Yanga 2-1 Kagera.
Hii ndio Yanga bwana.
Shukraan za dhati kwa Haruna Niyonzima.
Bado mpo kweli? Siwaoni jama...[emoji39]ahsante Kagera sugar hah hah
Hahahaha, Dada pole sana. Mnalala hili game.
Mungu saidia.
Una akili ya mpira....Huyu Haruna Niyonzima angekuwa mbele huko angefika mbali sana.
Huyu jamaa anacheza hadi najisikia vibaya kwa yeye kuchezea ligi ya VPL.
Akili na anavyoweza kumiliki mpira...namuona Legend Zinedine Zidane katikati ya miguu ya Niyonzima [emoji119]