Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo mkuu,kweli nimebadilika sana.
Mambo ya kijingajinga yote nimeacha hahaha.
Hii ni mojawapo kati ya faida nyinginezo nyingi za kuwa na mwenza mwenye busara na akili.
Shukraan kwa kuliona hilo mkuu.
Jamaa yupo juu sana anajua kuumiliki mpira.Huyu Haruna Niyonzima angekuwa mbele huko angefika mbali sana.
Huyu jamaa anacheza hadi najisikia vibaya kwa yeye kuchezea ligi ya VPL.
Akili na anavyoweza kumiliki mpira...namuona Legend Zinedine Zidane katikati ya miguu ya Niyonzima [emoji119]
Msuva angekuwa makini hadi sasa tungekuwa na magoli 4-1.Msuuuuuuuuva anakosa goli la wazi hapa namna gani pale...
Enjoy...Livescore imehamia JF
Nimekupendaje sasa? Yanga tunajua raha tu,maumivu yapo matopeni huko [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kabisa mumy. Hii ndio yanga.
Wacha itupe raha sie
Shukraan [emoji4] [emoji120]Una akili ya mpira....
yaani nyie hamna kitu kila mwaka maneno hayo hayo na mwisho wa siku mnatoka kapa subiri uone ubingwa unaenda jangwan na confederation mnapigwa na mbaoSimba ni taasisi, ni club ya wanachama wanaojitambua na kusimamia weledi wa kiuongozi, mpaka tunafikia hatua hiyo fahamu fika tumejipanga na kwa kifupi tu, liwake jua inyeshe mvua ubingwa mwaka huu unakwenda Msimbazi..just take my word..
Msuva anatakiwa aongeze umakini kwakweli,tusingekuwa na pressure saa hizi.Nifah huyu msuva anatucheleweshea kumaliza game hii
Naam,ushindi muhimu ila imagine tungekuwa mbele walau kwa magoli 3-1 tungeondoa pressure ya Kagera kusawazisha.Umeona hata hivyo mhimu ni ushindi.....