Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Mpira umeisha: Yanga 2 vs 1 Kagera Sugar toka uwanja wa Taifa

Kaseja kupewa hela goli gani hili anaachia. Soka la bongo bhana
 
Nipo mkuu,kweli nimebadilika sana.
Mambo ya kijingajinga yote nimeacha hahaha.
Hii ni mojawapo kati ya faida nyinginezo nyingi za kuwa na mwenza mwenye busara na akili.
Shukraan kwa kuliona hilo mkuu.

Kweli ni maombi yangu Mungu aendelee kuwapa busara na hekima katika safari yenu.

Yanga nao wanaendelea kukosha moyo wako full burudani.
 
Huyu Haruna Niyonzima angekuwa mbele huko angefika mbali sana.
Huyu jamaa anacheza hadi najisikia vibaya kwa yeye kuchezea ligi ya VPL.

Akili na anavyoweza kumiliki mpira...namuona Legend Zinedine Zidane katikati ya miguu ya Niyonzima [emoji119]
Jamaa yupo juu sana anajua kuumiliki mpira.
 
Hataaaaari pale Tambwe Lakini duh kaseja anauwahi
 
Simba ni taasisi, ni club ya wanachama wanaojitambua na kusimamia weledi wa kiuongozi, mpaka tunafikia hatua hiyo fahamu fika tumejipanga na kwa kifupi tu, liwake jua inyeshe mvua ubingwa mwaka huu unakwenda Msimbazi..just take my word..
yaani nyie hamna kitu kila mwaka maneno hayo hayo na mwisho wa siku mnatoka kapa subiri uone ubingwa unaenda jangwan na confederation mnapigwa na mbao
ili muende mkadai hizo point vizur
yaan hamuon aibu kagera wamewashinda uwanjan nyie mnakomaa kudai point nje ya uwanja
nyie wa matopeni tu
 
Duh goal kick......Yanga wanakosa hapa
 
Back
Top Bottom