Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ubishi [emoji135]YANGA BINGWA 2016/17
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hili bundle linachachaMohammed Fakhi kaiokoa timu yake,almanusra Yanga waandike goli la 3.
Nakuona tu jinsi karoho kanavyofurahi[emoji12]Kabisa na siku zote soka kwetu linachezwa uwanjani
Dakika 90,Yanga 2-1 Kagera.
Dakika 3 Zimeongezwa.
Maaawwweeeee!!!!🙄 TWAFWA!!Dakika 90,Yanga 2-1 Kagera.
Dakika 3 Zimeongezwa.
Apime na bp kabisaMkuu kunywa maji hapo ulipo,nahisi umesimama kabisa maana kiti ni cha moto.
Sio kwa mpira huu wa Yanga hahaha
aaah simba sasa imekuwa mfano wa simbatakutafunaa!!
![]()