Mpira umekwisha uwanja wa Taifa kati ya Ndanda Fc na Yanga SC Ni sare ya 1 na 1bila kufungana.

Usijali kocha Zahere kwenye Press Conference amesema atamsajili mama yake kwenye dirisha dogo.Kwani wachezaji wake wanakosa nafasi ambazo hata mama yake angefunga.
Nafasi gani wanakosa, Yanga hamna viungo Wenye kupiga pasi za mwisho zaidi ya kutegemea mipira ya kutenga
 

Kanjanja wewe. Kajifuze lugha kwanza. “Gori Moja kwa Moja bila kufungana” maana yake nini?
 
Sare katoa ndanda mikia wanashangilia utadhani wametwaa ubingwa yule msomali wa tabora lile jina alilowabatiza alikuwa sahihi sana.
 
Hawa vyura fc walishangilia sana sale ya ndanda na mnyama pale mtwara lakini wenyewe wametoa sale taifa wanajisahaulisha walivoshangilia ile sale yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…