Nafasi gani wanakosa, Yanga hamna viungo Wenye kupiga pasi za mwisho zaidi ya kutegemea mipira ya kutengaUsijali kocha Zahere kwenye Press Conference amesema atamsajili mama yake kwenye dirisha dogo.Kwani wachezaji wake wanakosa nafasi ambazo hata mama yake angefunga.