Mpira umekwisha: Yanga 1 vs Kagera 0

Mpira umekwisha: Yanga 1 vs Kagera 0

Leo ndo nimegundua kwa nn Tanzania kila mwaka kwenye viwango vya fifa tuna cheza kwenye ya 100+
 
Yanga imeshinda lakini kwa mpira ule mna safari ndefu sana
 
Hata Simba ilishinda kwa Ihefu lakini walicheza chini ya kiwango. Kwenye mpira kuna performance na matokeo. Unaweza kucheza mpira mzuri sana na burudani ukatoa lakini ukashindwa kupata matokeo. Mfano Yanga vs Prisons. Lakini unaweza kucheza chini ya kiwango lakini ukabebwa na bahati tu ndio hili ya Yanga vs Kagera na Ihefu vs Simba
 
Hii ya yanga sio bahati Bali mmeponea tundu ya sindano ile penalty ya mwamnyeto mngenyimwa nyi nyi mngeenda FIFA kama kawaida yenu
 
Hatai ile ya Ihefu vs Simba, tumeshuhudia Simba ikienda mapumziko kwa kuongoza kwa advantage ya mshika kibendera. Kwa kukataa goli halali kabisa la Ihefu.
 
We huoni kama na wao walipewa advantage na mshika kibendera pia Ile ngoma droo Ila kwa mpira huu anaocheza yanga hata akija al-ahly anakufa"
 
Huwezi kusema ngoma droo wakati tukio la Ihefu lilitangulia. Huwezi jua wangetoka mapumziko 2 kwa 2. Wachezaji ingewajengaje kiakili na kupata nguvu ya kupata matokeo.
 
Back
Top Bottom