Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

Na raha ya umbeya usiuweke kifuani shogaa
Ndo hivyo shogaaa shemeji yako hataki kabisa nichetuke lkm ndo nipo hivyo jamani hebu anihurumie kidogo jamani hizi sumu nisipozitoa humu ntazitolea wapi tena??
 
Ndo hivyo shogaaa shemeji yako hataki kabisa nichetuke lkm ndo nipo hivyo jamani hebu anihurumie kidogo jamani hizi sumu nisipozitoa humu ntazitolea wapi tena??
Utakuja kufa unatembeaa maisha yenyewe ya kujaza mapovu kifuani yapo wap??na yalivyo mafupi shogaa angu ..ni mwendo wa kuyamwaga tu wakafulieee boxer zao zilizogina
 
Nilikuwa najiuliza kila siku "Mambembe yuko wapi?" kumbe ulikuwa nyuma ya nondo...karibu kwenye jukwaa
Nilimiss sana swagga zako..."nitakususia***uhangaike nayo",karibu sana Mkuu!
 
Nilikuwa najiuliza kila siku "Mambembe yuko wapi?" kumbe ulikuwa nyuma ya nondo...karibu kwenye jukwaa
Nilimiss sana swagga zako..."nitakususia***uhangaike nayo",karibu sana Mkuu!
Hahahhaha wavimba macho walisababishaa mkuu na nishawaweka kwenye ignore list ndo maaana hawanishughulishi tenaaa bt thnk u kwa kunikumbukaaaa ♥️♥️♥️
 
Utakuja kufa unatembeaa maisha yenyewe ya kujaza mapovu kifuani yapo wap??na yalivyo mafupi shogaa angu ..ni mwendo wa kuyamwaga tu wakafulieee boxer zao zilizogina
Hahahahaha lazima wanyooke
 
ngoja niwahi siti """ mkianza kuchambana niambieni nije "" niwasaidie kuputa mchanga"" huwenda kuna ambao watahitaji kudundana kabisaa"""
Mambembe nakuomba unilipie ng'ombe zangu
Kuna mkaka alisema hatembelei tena maeneo haya
 
Kuna mkaka alisema hatembelei tena maeneo haya
maskini jolie wangu ameshakuwa shilawadu "" lakini kama sijasahau yule mkaka alisema hata kama atakuwa anatembelea maeneo haya..basiii ni kwa uchache mnoooo"" so sijui umeshamuona kwenye post ngapi za humu "" kama zipo nyingi basiii sidhani kam zinafika hata 4....( so naimani bado hajavuka mipaka yake jaribu kumpa muda)
 
naona nshaanza kuelewaa
 
Return of tha Queen
We've been missing you deadly,
Welcome back Mbembe Girl.....[emoji173]
 
Aaah Mambembe In Da House.
Welcome back. Pole kwa yaliokusibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…