Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hivyo shogaaa shemeji yako hataki kabisa nichetuke lkm ndo nipo hivyo jamani hebu anihurumie kidogo jamani hizi sumu nisipozitoa humu ntazitolea wapi tena??Na raha ya umbeya usiuweke kifuani shogaa
Utakuja kufa unatembeaa maisha yenyewe ya kujaza mapovu kifuani yapo wap??na yalivyo mafupi shogaa angu ..ni mwendo wa kuyamwaga tu wakafulieee boxer zao zilizoginaNdo hivyo shogaaa shemeji yako hataki kabisa nichetuke lkm ndo nipo hivyo jamani hebu anihurumie kidogo jamani hizi sumu nisipozitoa humu ntazitolea wapi tena??
Hahahhaha wavimba macho walisababishaa mkuu na nishawaweka kwenye ignore list ndo maaana hawanishughulishi tenaaa bt thnk u kwa kunikumbukaaaa ♥️♥️♥️Nilikuwa najiuliza kila siku "Mambembe yuko wapi?" kumbe ulikuwa nyuma ya nondo...karibu kwenye jukwaa
Nilimiss sana swagga zako..."nitakususia***uhangaike nayo",karibu sana Mkuu!
Thank you 2!Hahahhaha wavimba macho walisababishaa mkuu na nishawaweka kwenye ignore list ndo maaana hawanishughulishi tenaaa bt thnk u kwa kunikumbukaaaa [emoji813]️[emoji813]️[emoji813]️
Hahahahaha lazima wanyookeUtakuja kufa unatembeaa maisha yenyewe ya kujaza mapovu kifuani yapo wap??na yalivyo mafupi shogaa angu ..ni mwendo wa kuyamwaga tu wakafulieee boxer zao zilizogina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]makongoro kabisaaa yataonekanaUlivyombea sasa utabaki mifupa tu
Kuna mkaka alisema hatembelei tena maeneo hayangoja niwahi siti """ mkianza kuchambana niambieni nije "" niwasaidie kuputa mchanga"" huwenda kuna ambao watahitaji kudundana kabisaa"""
Mambembe nakuomba unilipie ng'ombe zangu
maskini jolie wangu ameshakuwa shilawadu "" lakini kama sijasahau yule mkaka alisema hata kama atakuwa anatembelea maeneo haya..basiii ni kwa uchache mnoooo"" so sijui umeshamuona kwenye post ngapi za humu "" kama zipo nyingi basiii sidhani kam zinafika hata 4....( so naimani bado hajavuka mipaka yake jaribu kumpa muda)Kuna mkaka alisema hatembelei tena maeneo haya
naona nshaanza kuelewaamaskini jolie wangu ameshakuwa shilawadu "" lakini kama sijasahau yule mkaka alisema hata kama atakuwa anatembelea maeneo haya..basiii ni kwa uchache mnoooo"" so sijui umeshamuona kwenye post ngapi za humu "" kama zipo nyingi basiii sidhani kam zinafika hata 4....( so naimani bado hajavuka mipaka yake jaribu kumpa muda)