Mpira umerudi kwa kipa and the queen is back!

Mme hataki kumsalimia mkewe,haya mabadiliko ya tabia yamekuja kivingine
hahaaa ...kwahiyo na wewe umeamua kumchunia....aiseee kwli jf balaaa...."" sasa siumshitaki....maana aliniambia kuwa amechoka kulishwa vyakula vibichi na vilivyoungua ..kwaajili ya mkew kushinda JF kutwaaa""
mbaya zaidi anasema hata kurejea nyumba amekuwa anachlewa mnoo...siku nyingine mume anakwnda kazini huku nguo zikiwa hazijapigwa pasiiiii""""
nikashindwa hata kumtetea huyo mke maana naona kam anatafuta 7bu ya talaka tu
 
Haha hapa sasa shoga shida yako nisutwe bila sare ya dela
Nipo hapa kukupa back up yaaan unanazaje kuchambwa shoga au wakati nipo??unaogopaje dudu litambaalo???dudu la kuogopa ni lirukalo bwanaa [emoji16][emoji16]
 
Sasa hapa shoga angu anakoseaaa mume ataka malezi jaman
 
Hatimae mke abebeshwa zigo la lawama
 
Nipo hapa kukupa back up yaaan unanazaje kuchambwa shoga au wakati nipo??unaogopaje dudu litambaalo???dudu la kuogopa ni lirukalo bwanaa [emoji16][emoji16]
[emoji23] hili swala la kuchambwa ndo udhaifu wangu mkuu hehehehe ntoke nduki mie[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji3][emoji3] hao kiboko yao shem mshana tu
Na hivi shosti kashachukuliwaa jumlaa ntakuwa nashinda kwa shem anipe kilaa utundu ntawazibaa midomo this tym around[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…