Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Akija unioneshe kwa kweliNiyule yule wa sikuzote...[emoji12] [emoji12]
Kwani haumuonagi mkipishana nae humu...[emoji6] [emoji6]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akija unioneshe kwa kweliNiyule yule wa sikuzote...[emoji12] [emoji12]
Kwani haumuonagi mkipishana nae humu...[emoji6] [emoji6]
hahaaa ...kwahiyo na wewe umeamua kumchunia....aiseee kwli jf balaaa...."" sasa siumshitaki....maana aliniambia kuwa amechoka kulishwa vyakula vibichi na vilivyoungua ..kwaajili ya mkew kushinda JF kutwaaa""Mme hataki kumsalimia mkewe,haya mabadiliko ya tabia yamekuja kivingine
Haha hapa sasa shoga shida yako nisutwe bila sare ya delaOgaa nimepitwaje hebu nipe huo ubuyu hata kwa codes au nitag jomoni
Anaitwa jiwedogo.....[emoji12] [emoji12]Akija unioneshe kwa kweli
Mbona uko na moto sana mkuu....Sina muda wa kukujibu
Sasa hapa shoga angu anakoseaaa mume ataka malezi jamanhahaaa ...kwahiyo na wewe umeamua kumchunia....aiseee kwli jf balaaa...."" sasa siumshitaki....maana aliniambia kuwa amechoka kulishwa vyakula vibichi na vilivyoungua ..kwaajili ya mkew kushinda JF kutwaaa""
mbaya zaidi anasema hata kurejea nyumba amekuwa anachlewa mnoo...siku nyingine mume anakwnda kazini huku nguo zikiwa hazijapigwa pasiiiii""""
nikashindwa hata kumtetea huyo mke maana naona kam anatafuta 7bu ya talaka tu
Hatimae mke abebeshwa zigo la lawamahahaaa ...kwahiyo na wewe umeamua kumchunia....aiseee kwli jf balaaa...."" sasa siumshitaki....maana aliniambia kuwa amechoka kulishwa vyakula vibichi na vilivyoungua ..kwaajili ya mkew kushinda JF kutwaaa""
mbaya zaidi anasema hata kurejea nyumba amekuwa anachlewa mnoo...siku nyingine mume anakwnda kazini huku nguo zikiwa hazijapigwa pasiiiii""""
nikashindwa hata kumtetea huyo mke maana naona kam anatafuta 7bu ya talaka tu
[emoji23] hili swala la kuchambwa ndo udhaifu wangu mkuu hehehehe ntoke nduki mie[emoji125] [emoji125] [emoji125]Nipo hapa kukupa back up yaaan unanazaje kuchambwa shoga au wakati nipo??unaogopaje dudu litambaalo???dudu la kuogopa ni lirukalo bwanaa [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23] ila nilimis post zako aiseeWapo wanachunguliaaa kwa mbali wanapangaa mipango lol
[emoji23] [emoji23] nakuona[emoji23][emoji23] ila nilimis post zako aisee
[emoji3][emoji3] hao kiboko yao shem mshana tuHahaha thnk u honey wachawi waliniwangiaaaa [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji23] [emoji23] nakuona
hahaa mke anajichimbia shimo mwenyew...ngoja ya msondo ni waachie wenyew kina ngurumoHatimae mke abebeshwa zigo la lawama