Mpira ushetani,??tulimlazimisha dereva wa gari yenye maiti apaki Mombo ili tuangalie mechi ya Simba vs Nkana

Mpira ushetani,??tulimlazimisha dereva wa gari yenye maiti apaki Mombo ili tuangalie mechi ya Simba vs Nkana

Mwaka 2018 tulisafirisha maiti ya dogo mmoja shabiki wa Simba kwenda kwao upareni

Lengo ilikuwa tuzike tarehe 24 siku moja kabla ya Xmas kumuenzi marehemu tulimlaximisha dereva asimamishe gari tuangalie mechi,tulimuacha dogo marehemu peke yake kwenye coaster ndani ya jeneza,tulirudi tumelewa chakari

Mpira ni ushetani
Wewe ndo shetani mtu, usisingizie mpira.
 
Mkuu maiti ni sawa na jiwe tu ama kitu chochote kile kisicho na uhai,,,, ndio maana jamii nyingine maiti zinachomwa, zinatupwa misituni, mtoni nk sisi tunazika kwa imani zetu! Kitendo cha kuiacha na kwenda kuangalia mpira na kurudi sijui mmelewa hakuna ujemedari wowote ule ,,,, ! kile sio kiumbe tena , ni kitu mfu hakina uelewa wala utambuzi !!!!!



Tuheshimiane tungali hai,,, Tukishakufa si chochote wala si lolote
Upo sahihi 100%

Nakumbuka kuna mwaka nilikufa afu kuna demu nilikuwa namkubali kinoma ila alinikataaga, cha kushangaza nlipokufa akaanza kusema alikuwa ananipenda sana nkaona huu n ungese kweli ukiwa hai huthaminiki mpaka ufe 😭
 
IMG_20250323_185005.jpg
 
Back
Top Bottom