Mpira ushetani,??tulimlazimisha dereva wa gari yenye maiti apaki Mombo ili tuangalie mechi ya Simba vs Nkana

Mpira ushetani,??tulimlazimisha dereva wa gari yenye maiti apaki Mombo ili tuangalie mechi ya Simba vs Nkana

Mwaka 2018 tulisafirisha maiti ya dogo mmoja shabiki wa Simba kwenda kwao upareni

Lengo ilikuwa tuzike Kesho yake yaanu tarehe 24 siku moja kabla ya Xmas

Coincidence Simba ikawa inacheza na Nkana tarehe 23 kumuenzi marehemu tulimlazimisha dereva asimamishe gari maeneo ya Mombo tuangalie mechi,tulimuacha dogo marehemu peke yake kwenye coaster ndani ya jeneza,tulirudi tumelewa chakari

Mpira ni ushetani
Ni ushetani, niliwahi kutumia pesa yangu ya accommodation ili niingie old Trafford.
Maisha yalikuwa magumu sana kwa ule mwezi, sitasahau
 
Mwaka 2018 tulisafirisha maiti ya dogo mmoja shabiki wa Simba kwenda kwao upareni

Lengo ilikuwa tuzike Kesho yake yaanu tarehe 24 siku moja kabla ya Xmas

Coincidence Simba ikawa inacheza na Nkana tarehe 23 kumuenzi marehemu tulimlazimisha dereva asimamishe gari maeneo ya Mombo tuangalie mechi,tulimuacha dogo marehemu peke yake kwenye coaster ndani ya jeneza,tulirudi tumelewa chakari

Mpira ni ushetani
Hayo ni mawazo yenu mkuu...ila Kila kitu Kipo kwa Sababu maalum
 
Binadamu siku hizi wanafanya kila kitu
Kuna mzungu alikuwa ana farasi wake aliempenda sana katika maisha yake.

Akaomba siku akifa maiti yake ichomwe na majivu yawekwe juu farasi
Farasi alipelekwa sehemu aliyokuwa anapapenda sana kucheza nae
Itafikiri farasi alihisi ule uzito wa jamaa,
Alikimbia na kurukaruka kama anajua kinachoendelea

Dunia hii ina vituko na maajabu makubwa
Najua sio kwa ndugu zetu Ila nafuta kauli

Hawa waliosimama kuangalia mpira ndio zaidi na sidhani kama ni true story
 
Naona ni story ya kutunga hii
Sidhani kama ndugu wangekubali
Ngoja akanushe mleta mada
Ka
mleta mada unaitwa huku!!👿
Iko hivi,hapo Mombo ni ngumu sana private car au coaster za maiti kupita bila kusimama,

misafara mingi ya maiti kwa ukanda wa kaskazini hulala hapo,na kuondoka asubuhi,kuna familia huwa hazipendi maiti kuingia nyumbani usiku,......kwa hiyo ilikuwa rahisi tu kumshawishi dereva asimame Mombo ili tunyooshe miguu na kupata msosi,mambo ya kumuenzi marehemu kwenda kuangalia mpira tuliyaratibu watu wachache tu bila kuhusisha killa mtu kwenye gari,cha ajabu tulikaa masaa kama matatu na wafiwa wote walikuwa na amani.

Mombo inaongoza kupaki misafara ya maiti find out utaniambia
 
Ka

Iko hivi,hapo Mombo ni ngumu sana private car au coaster za maiti kupita bila kusimama,

misafara mingi ya maiti kwa ukanda wa kaskazini hulala hapo,na kuondoka asubuhi,kuna familia huwa hazipendi maiti kuingia nyumbani usiku,kwa hiyo ilikuwa rahisi tu kumshawishi dereva asimame Mombo ili tunyooshe miguu na kupata msosi,mambo ta kumuenzimarwhemukwenda kuangalia mpira tuliyaratibu watu wachache tu bila juhusisha killa mtu kwenye gari,cha ajabu tulikaa masaa kama matatu na wafiwa wote walikuwa na amani.

Mombo insongoza kupaki misafara ya maiti find out utaniambia
Nimekuamini sasa
 
Mpira ni ibada na imani ya kuzimu na vile viingilio ni sadaka za madhabahu ya giza
Wallace Karia
Steve Mngeto
Almasi Jumapili Kasongo

Kasongo yeyeeee mobali na ngai
Kasongo yeyeeee mobali na ngai

Kasongo nga nawe oo
Zonga libala ee

Kasongo yo yo, mobali na ngai
Kasongo nga nawe oo
Zonga libala ee

Nga na ndako Kasongo
miso na nzela
Soki okozonga dia ee
yebisa nga ye ee

Libala na ndako Kasongo
batunaka ngai
Tata azali wapi ee
naloba nini ee

Kasongo yeyeeee mobali na ngai
Kasongo nga nawe oo
Zonga libala ee

Kasongo yo yo, mobali na ngai
Kasongo nga nawe oo
Zonga libala ee
 
Binadamu siku hizi wanafanya kila kitu
Kuna mzungu alikuwa ana farasi wake aliempenda sana katika maisha yake.

Akaomba siku akifa maiti yake ichomwe na majivu yawekwe juu farasi
Farasi alipelekwa sehemu aliyokuwa anapapenda sana kucheza nae
Itafikiri farasi alihisi ule uzito wa jamaa,
Alikimbia na kurukaruka kama anajua kinachoendelea

Dunia hii ina vituko na maajabu makubwa
Najua sio kwa ndugu zetu Ila nafuta kauli

Hawa waliosimama kuangalia mpira ndio zaidi na sidhani kama ni true story
Amahakika ni fikirishi sana binadamu na maajabu yake.
 
Back
Top Bottom