shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Yani Viongozi wanajifikiria wao tu na hizo team mbili.Wale mama ntilie maskini walinunua vitu wauze pale taifa imekula kwa
Ifike muda tuachane na lawama na tufanye wajibu wetu pia.Sasa Kiongozi wachukue hatua gani? Na nani ataweza kuwasikiliza?
Mtu amechoma mafuta, tiketi au nauli ili akaitazame DERBY ila cha kushangaza mechi inahairishwa kitoto.
Kwenye nchi zetu hizi ustaarabu zero.
Hii point yako ni nzuri.Oyaa kuwa serious Mkuu.
Kwa hiyo unataka kusema haya mambo hayana suluhu?
Hebu tukubali kuwa ni ujinga wetu wala sio jambo la kujivunia kila siku kusema hatuna mahali pa kulalamika au kukomesha huu upuuzi.
Simple, mashabiki wote wa mpira mngeacha kwenda uwanjani toka ile mechi ya kipindi kile ilivyoahirishwa so mngeacha viongozi na wachezaji wacheze na kushabikia mpira wao wenyewe.
Hapa wamezingua kinyama.Watanzania hawana akili ilibidi wagomee kuingia uwanjani kwenye hii dabi ili viongozi waone uchungu maana wanaingiza watu hasara mbwa hawa wanakera sana
Hii imelitia aibu taifa kwenye medani ya Soka.Mashabiki wa mpira bongo wangekuwa na akili wangegomea sikumoja kuingia uwanjani maana hawa viongozi wa soka walishaona watz ni wajinga na hawajielewi ndiomaana upumbavu kama huu unaendelea kufanyika
Umegonga kunapo. Hili wazo limekaa unyama.Bodi ya ligi wafanye maamuzi ya weledi, wawaambie simba wakafanye hayo mazoezi ya mwisho jioni hii, halafu mechi ichezwe kesho saa kumi jioni, kuna watu wameghalamika na huu mchezo, bora leo walale uwanjani, kesho wapate haki yao.
Ifike muda iwe hivyo, bila hivyo tutaendelea kulialia na tutafanya hivyo mpaka lini?Hii point yako ni nzuri.
Lakini mashabiki wote wataweza kuhafikiana?
Ni kweli Mkuu.Ifike muda iwe hivyo, bila hivyo tutaendelea kulialia na tutafanya hivyo mpaka lini?
Mambo ya kishirikina tu hayo, mmoja ameroga vizuri tu Sasa anamzuia mwenzie asiroge.
Wote hao bila kuroga hawachezi.Kwahiyo bila kuroga Simba hawezi kucheza?