Mpira wa Bongo jau

Mpira wa Bongo jau

Wale mama ntilie maskini walinunua vitu wauze pale taifa imekula kwa
Yani Viongozi wanajifikiria wao tu na hizo team mbili.

Hawajatathmini ni kwa kiasi gani wamesabisha hasara kwa mashabiki hasa wenye maisha ya chini, Maana asilimia kubwa ya wanaoenda pale uwanjani ni wenye maisha ya kawaida.
 
Sasa Kiongozi wachukue hatua gani? Na nani ataweza kuwasikiliza?

Mtu amechoma mafuta, tiketi au nauli ili akaitazame DERBY ila cha kushangaza mechi inahairishwa kitoto.

Kwenye nchi zetu hizi ustaarabu zero.
Ifike muda tuachane na lawama na tufanye wajibu wetu pia.

Hii nchi ni ya viongozi pekee au Watanzania wote?

Na wakiona maoni kama haya wataendelea kutuendesha mpaka akili ziwakae sawa.
 
Oyaa kuwa serious Mkuu.

Kwa hiyo unataka kusema haya mambo hayana suluhu?

Hebu tukubali kuwa ni ujinga wetu wala sio jambo la kujivunia kila siku kusema hatuna mahali pa kulalamika au kukomesha huu upuuzi.

Simple, mashabiki wote wa mpira mngeacha kwenda uwanjani toka ile mechi ya kipindi kile ilivyoahirishwa so mngeacha viongozi na wachezaji wacheze na kushabikia mpira wao wenyewe.
Hii point yako ni nzuri.

Lakini mashabiki wote wataweza kuhafikiana?
 
Kuna mpira hapo? Timu zenyewe ni hizo hizo wanapokezana kikombe tu.
Hamna mpira hiyo nchi ya mapoyoyo
 
Mashabiki wa mpira bongo wangekuwa na akili wangegomea sikumoja kuingia uwanjani maana hawa viongozi wa soka walishaona watz ni wajinga na hawajielewi ndiomaana upumbavu kama huu unaendelea kufanyika
Hii imelitia aibu taifa kwenye medani ya Soka.
 
Bodi ya ligi wafanye maamuzi ya weledi, wawaambie simba wakafanye hayo mazoezi ya mwisho jioni hii, halafu mechi ichezwe kesho saa kumi jioni, kuna watu wameghalamika na huu mchezo, bora leo walale uwanjani, kesho wapate haki yao.
 
Back
Top Bottom