Mpira wa miguu ni mchezo unaokutanisha msiba na harusi kwenye uwanja mmoja

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Bujibuji ni baba yangu.jpg
Baba ya ni tajiri.jpg
 
Hiyo dakika 2 mbona nyingi bwana, unakumbuka uefa 2014 kati ya real madrid vs atletico madrid. Mpaka dakika ya 90+ score board inasoma 0-1.

Kona inapigwa wakimaliza kupiga mpira uishe huku nje atletico wanajiandaa kushangilia kombe lao la kwanza la uefa. Sekunde ya mwisho kabisa, yaan ya mwisho kabisa Sergio Ramos anapiga header na kusawazisha.

Wanaenda extra time, kilichotokea huko kila mtu anajua.
 
Spurs v Ajax .... Moura aliwaacha wadachi na vilio heavy.
 
Hiyo dakika 2 mbona nyingi bwana, unakumbuka uefa 2014 kati ya real madrid vs atletico madrid. Mpaka dakika ya 90+ score board inasoma 0-1.

Kona inapigwa wakimaliza kupiga mpira uishe huku nje atletico wanajiandaa kushangilia kombe lao la kwanza la uefa. Sekunde ya mwisho kabisa, yaan ya mwisho kabisa Sergio Ramos anapiga header na kusawazisha.

Wanaenda extra time, kilichotokea huko kila mtu anajua.
Hio ali level score board akaenda Extra Time..Man u alishinda kabisa yan from behind to level then win ndani ya hizo two minutes ndio maana hii game ni moja ya game Fergie ilimpa heshima sana
 
Hiyo dakika 2 mbona nyingi bwana, unakumbuka uefa 2014 kati ya real madrid vs atletico madrid. Mpaka dakika ya 90+ score board inasoma 0-1.

Kona inapigwa wakimaliza kupiga mpira uishe huku nje atletico wanajiandaa kushangilia kombe lao la kwanza la uefa. Sekunde ya mwisho kabisa, yaan ya mwisho kabisa Sergio Ramos anapiga header na kusawazisha.

Wanaenda extra time, kilichotokea huko kila mtu anajua.
Hii haitishi mdau
 
Back
Top Bottom