Hiyo dakika 2 mbona nyingi bwana, unakumbuka uefa 2014 kati ya real madrid vs atletico madrid. Mpaka dakika ya 90+ score board inasoma 0-1.
Kona inapigwa wakimaliza kupiga mpira uishe huku nje atletico wanajiandaa kushangilia kombe lao la kwanza la uefa. Sekunde ya mwisho kabisa, yaan ya mwisho kabisa Sergio Ramos anapiga header na kusawazisha.
Wanaenda extra time, kilichotokea huko kila mtu anajua.