Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Waafrika wakishafanya uzembe, Hawataki kuwa responsible na uzembe wao.Hivi sasa ni vihoja baada ya HOJA kutushinda😅
Waafrika bhana...🙌 wao na uchawi/miujiza ni sawa na chura na maji.🤣
Na wewe huamini katika secrete society?Na yule mganga wao tapeli , tukiwaambia hakuna kitu inaitwa uchawi wanakaza mafuvu
Find someone of your league to parallel your mediocrity.Acha kufubuka wewe
Hakuna cha pattern.Mwili wako wenyewe hauna control nao sembuse reality?
Jamaa yuko sahihi Fanya chunguzi utaona pattern
Morocco alivyoitoa Netherlands 🇳🇱 .Tatizo maafrika hayataki kujifunza wenzetu they learn... Kuna secrete society... Hao wanalink na higher beings... Those higher beings wako kwenye dimension kubwa zaid yetu... Na wao pia wanawakubwa wao
Well level up the game then, your too much analogicalFind someone of your league to parallel your mediocrity.
Hakuna cha pattern.
Mpira wa Afrika usiulete Ulaya.
Mpira wa Ulaya, Kujihakikishia ushindi ni mpaka kipyenga cha mwisho kipulizwe.
Miafrika mijinga inabweteka na kujihakikishia ushindi kwa vile tu, ina ongoza kwa magoli.
Halafu mkishafungwa mnakuja na imani za kipumbavu badala ya kukubali uzembe na makosa yenu.
Because they're destinedMorocco alivyoitoa Netherlands 🇳🇱 .
Secret society ipi iliwasaidia Morocco kuwatoa Uholanzi?
Secret society ipi iliwasaidia Paraguay kuwatoa Germany?
We all know, Germany and Netherlands ni mataifa makubwa kisoka.Well level up the game then, your too much analogical
Hujui chochote kuhusiana na hizo number na maana zake
Hujui invisible power iliyo nyuma ya numbers...
Hujui ya kuwa mwanadamu ni tofauti na my ama kwa sababu ya kuwa project ya higher beings katika kumaintain order za ulimwengu
Hujui ya kuwa, everything is planned na hakuna kitu enye utafanya.
Kwa hiyo Secret Society imewachagua Morocco na kuwatosa wazungu wenzao Uholanzi?Because they're destined
Kulikuwa na glitch mbaya ilitokea afcon.. Ila baadae si uliona wakajitangaza mabingwa?
Kwanza morroco wana mpira kweli? Tuna wa overate sana. But ndo ivyoo secrete society imewachagua
Kipindi Argentina anachukua ubingwa ulidhani itakuwa possible?We all know, Germany and Netherlands ni mataifa makubwa kisoka.
Paraguay kamtoa Ujerumani.
Morocco (Waafrika) kamtoa Uholanzi.
Haya sasa, Kama kweli kuna Secret Society, Ina maana kwamba Secret Society ziliwatosa Germany na Netherlands hadi wakafungwa na kutolewa?
Because they're destined
Kulikuwa na glitch mbaya ilitokea afcon.. Ila baadae si uliona wakajitangaza mabingwa?
Kwanza morroco wana mpira kweli? Tuna wa overate sana. But ndo ivyoo secrete society imewachagua
Mjinga mwenyewe usiye taka kufatilia kitu na kumeza uhalisia uuonaoWatu wajinga ndo wanaoamini Kuna secret society
Kwakuwa ni idealist haawataki kuishi kutokana na Dunia ilivyo
Ur a problem and ur a solution.
Mjinga mwenyewe usiye taka kufatilia kitu na kumeza uhalisia uuonao
Unafikiri kila mtu anaegemea uhalisia wa macho ya nyama kama wewe?
Acha kuleta emotional burden ukiwa huna info ya kuprove watu wrong
So kama umefukia kichwa chako chini na hutaki kujifunza endelea na delusional mindset mpaka utakapo fukiwa chini