Basi mmatumbi endelea kukaza fuvu...Nyie waswahili mna upeo mdogo wa kufikiri na mbaya hampendi kujifunza hakuna kitu kinaitwa secret society wala nini
Weka ushahidi hapa kuwa ipo secret societyBasi mmatumbi endelea kukaza fuvu...
Hauwezi kuipata kama ni mfia dini, kama umekazana na elimu ya shule ambayo ni control object, na pia kama akili yako haiwezi kuona mbali
Kwenye Football, Ushindi anaweza kuchukua yeyote.Kipindi Argentina anachukua ubingwa ulidhani itakuwa possible?
There's nothing like destiny.They control destiny.
Kwa hiyo wali control destiny ya Paraguay(third world country) iwatoe Ujerumani( first word country)?This universe is mechanical, wanatwist timeline tu.
It wasn't my job mleta mada wasWeka ushahidi hapa kuwa ipo secret society
On higher realms hakuna morality wala polarityKwenye Football, Ushindi anaweza kuchukua yeyote.
Ushindi wa mpira ni mpaka kipyenga cha mwisho kipulizwe.
Hakuna mambo ya destiny wala Secret Societies.
Na hata kama kuna Secret Societies, Hao members wa secret societies, kila mtu ana nchi yake aliyozaliwa na anayo ishabikia.
Hawawezi wote kwa pamoja kuset destiny ya nchi moja ishinde wakati kila mtu ana nchi yake anayo shabikia.
Mfano, Member "A" wa secret Society anashabikia Brazil.
Member "B" wa secret Society hiyohiyo anashabikia Argentina.
Member "C" wa secret Society anashabikia France.
Sasa unafikiri hawa Members wote A, B na C. kwa pamoja wanaweza kuset destiny kwa nchi moja ishinde na kuchukua kombe, wakati kila Member ana timu yake pendwa anayo shabikia?
There's nothing like destiny.
In football, There's nothing like secret Society.
Kwa hiyo wali control destiny ya Paraguay(third world country) iwatoe Ujerumani( first word country)?
Wali control destiny ya Morocco iwatoe Uholanzi?
Does it make sense?
It wasn't my job mleta mada was
That's why y'all working slaves hamjui maana yoyote ya maisha mnafanya kazi kama marobotiIdealist , ukiwa idealist unakuwa MTU mjinga sana
Hii Dunia inaendeshwa kwa akili na sio hizo nadharia mnasoma mitandaoni
Una uthibitisho na haya unayosema ama ni hearsay na stori za vijiweni?On higher realms hakuna morality wala polarity
Wanaona everything on higher dimension...
Kama ni wewe, wanakuona toka ukiwa mdogo mpaka sasa kwa wakati mmoja..
Hawaendi chronologically, wanaangalia nini lengo la existence yako na namna ita affect universe
So hata timu hawaoni ni vitu vya kuchagua kama sisi tufanyavo
Wao wanapick kitu kimoja na ndo hichohicho
Kuna vingi ningesema Sema hakuna atakaye elewaaa
It's your fucking job to do the researchUna uthibitisho na haya unayosema ama ni hearsay na stori za vijiweni?
Wewe uliyekwisha fanya research leta uthibitisho wa hiyo research tuichambue hapa.It's your fucking job to do the research
Kama kitu ni secret na kina jadiliwa tu kwenye secret Society, Wewe Mmatumbi wa huku Bongo umewezaje kujua informations ambazo ni secret?And it takes years of paper reading, and delving into mysticism.
Sio hapa kukua ni Nisha kama umekaa fuvu
This realm is controlled na kuna watu invisible wanafanya hiyo kazi. Tena majamaa hata hayaangalii pesa wala nn maana kwao pesa is meaninglessWazee kama wewe ni mdadisi lazima utagundua kuna mambo yanaendelea na tumezibwa macho mfano mdogo ilikuwaje Messi akamuosha Yamine Lamal angali mtoto mchanga na hawana undugu wowote na ilikia kama ritual na red color behind! zile picha zinafikirisha.. kuna clip YouTube inaelezea movie "HIM revealed way too much" nilivocheki ndo nikaunganisha dots.
Hawa wachezaji ma star wameandaliwa tangu utotoni wamechaguliwa na wanakua pushed into mainstream na media conglomerate! ndio utajua kwanini lebron ana tattoo chosen kifuani, hivi ni bahati mbaya tu watu wote maarufu Wana flash devil horns vile vidole kama rockstars? akili kumckichwa
Hahaha mimi sio mmatumbi mwenzio kamanda 😂Wewe uliyekwisha fanya research leta uthibitisho wa hiyo research tuichambue hapa.
Usilete maneno tu, na "f" words.
Kama kitu ni secret na kina jadiliwa tu kwenye secret Society, Wewe Mmatumbi wa huku Bongo umewezaje kujua informations ambazo ni secret?
Don't take words as they are, take them as a vibrationWewe uliyekwisha fanya research leta uthibitisho wa hiyo research tuichambue hapa.
Usilete maneno tu, na "f" words.
Kama kitu ni secret na kina jadiliwa tu kwenye secret Society, Wewe Mmatumbi wa huku Bongo umewezaje kujua informations ambazo ni secret?
Tatizo maafrika hayataki kujifunza wenzetu they learn... Kuna secrete society... Hao wanalink na higher beings... Those higher beings wako kwenye dimension kubwa zaid yetu... Na wao pia wanawakubwa wao
Wewe wasemaYou're as smart as a brick.
Hebu kasome hapa ujue ilikuwaje Messi kukutana na Lamine Yamal.Wazee kama wewe ni mdadisi lazima utagundua kuna mambo yanaendelea na tumezibwa macho mfano mdogo ilikuwaje Messi akamuosha Yamine Lamal angali mtoto mchanga na hawana undugu wowote na ilikia kama ritual na red color behind! zile picha zinafikirisha.. kuna clip YouTube inaelezea movie "HIM revealed way too much" nilivocheki ndo nikaunganisha dots.
Hawa wachezaji ma star wameandaliwa tangu utotoni wamechaguliwa na wanakua pushed into mainstream na media conglomerate! ndio utajua kwanini lebron ana tattoo chosen kifuani, hivi ni bahati mbaya tu watu wote maarufu Wana flash devil horns vile vidole kama rockstars? akili kumckichwa
Sasa leta uthibitisho wa hiyo research yako ya Secret Society.Hahaha mimi sio mmatumbi mwenzio kamanda 😂