RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
It is meaningless kuweka humu. That's why xxx tentaxion walimuuwa.. Alijaribu ku awaken watu wafuatilie wenyewe. Na ndicho kitu sahihiSasa leta uthibitisho wa hiyo research yako ya Secret Society.
Usikwepe swali.Don't take words as they are, take them as a vibration
I believe so 100% there is more than what meets the eye... Kuna siri nyingi sana kama na wanataka tuishi kama ma zombie tusidadisi chochote ila mambo mengine hayaitaji uwe genius kuunganisha dots too obvious Dunia ina wenyewe hiiThis realm is controlled na kuna watu invisible wanafanya hiyo kazi. Tena majamaa hata hayaangalii pesa wala nn maana kwao pesa is meaningless
Do you know that hakuna secrete ukisha link up na universal forces?Usikwepe swali.
Jibu swali.
Kama kitu ni secret na kina jadiliwa tu kwenye secret Society, Wewe ambaye sio member wa secret Society, Ni nani alikupa informations za secret Society?
Wewe unafanya logical fallacy inaitwa red herring.It is meaningless kuweka humu. That's why xxx tentaxion walimuuwa.. Alijaribu ku awaken watu wafuatilie wenyewe. Na ndicho kitu sahihi
Kama hakuna secret, kwa nini unaita tena Secret Society?Do you know that hakuna secrete ukisha link up na universal forces?
Kama hakuna Secret, Then hakuna Secret Society.Hakuna secrete tena because everything is energy, frequenncy and vibration?
So hiyo dhana na maana ya secrete haitambuliki namna hiyoo
Lazima upewe backstory ya mauzauza don't be a sheep bro, google vigilante citizen uone sign and symbols za watu maarufu kisha uje hapa useme ni bahati mbaya.. hivi unajua uko programmed kua mbishi hata ukiambiwa ukweli not your fault umetengenezwa hivo kitambo sana kuamka ni Nuru ikutembelee au uwe mdadisi sio kuridhikaHebu kasome hapa ujue ilikuwaje Messi kukutana na Lamine Yamal.
Lamine Yamal: Photos of Lionel Messi bathing Spain wonderkid as a baby resurface Lamine Yamal: Photos of Lionel Messi bathing Spain wonderkid as a baby resurface
Sio kuleta stori za vijiweni na imani zisizo na uthibitisho za wamatumbi wa Bongo.
Skia wewe ni wale jamaa wakaza mafuvu, whom are here to bring negative vibes, nimekwambia its not something one can explain in a single threadWewe unafanya logical fallacy inaitwa red herring.
The red herring fallacy is a trick where someone changes the subject to distract you from the main issue. They do this to avoid answering a hard question.
Mimi wala sijakuuliza habari za Rapper XXX Tentaxion. Wala huu uzi hauna uhusiano wowote na Rapper XXX tentaxion.
Nakuuliza hivi... π
Kama kitu ni secret na kina jadiliwa tu kwenye secret Society, Wewe ambaye sio member wa secret Society, Hizi informations ambazo ni secret, ulipewa na nani?
Kama kitu ni secret na kina jadiliwa tu kwenye secret Society, Kingewezaje kuwekwa Online kwenye Public ya watu wengi?Lazima upewe backstory ya mauzauza don't be a sheep bro, google vigilante citizen uone sign and symbols za watu maarufu kisha uje hapa useme ni bahati mbaya.. hivi unajua uko programmed kua mbishi hata ukiambiwa ukweli not your fault umetengenezwa hivo kitambo sana kuamka ni Nuru ikutembelee au uwe mdadisi sio kuridhika
Nakuuliza hivi πSkia wewe ni wale jamaa wakaza mafuvu, whom are here to bring negative vibes, nimekwambia its not something one can explain in a single thread
Kuhusu dhana ya secrete, ni dhana tukojitengenezea sisi au imewekwa Kimkakati kupumbaza watu...
Hakuna kitu kama siri duniani...
Soma comment yangu ya hapo juu then kaanze research.. Full stop kama Hujaelewa nenda Kanywe sumu.
ChaiNa kwenye mechi za kombe la dunia tunaona kabisa wamiliki wa jamii hii ya Siri ni watu weupe, angalia timu za watu weupe/wazungu zinavyoshinda mechi zake.
Timu ya Africa hata kama iliongoza kwa goal zaidi ya 2, wakiruhusu tuu goal dakika ya 86 lazima meza ipinduke.
Tazama ππ
View attachment 3620492
Magoli yote yaliozivuruga timu za Africa yamepatikana dakika ya 86.
Walioyafunga hayo magoli wanavaa jezi namba 9
Tazama π π
View attachment 3620494
Harry Kane JEZI NAMBA 9
Romelu Lukaku JEZI NAMBA 9
Erling Halaand JEZI NAMBA 9
=999
Ukizipindua hizo namba kama matokeo yalivuopinduka zitaonekana kama 666
Kama unadhani imetokea kwa bahati mbaya BADO UNA SAFARI NDEFU SANA.
Chapa ya mnyama 666
View attachment 3620497
ππ
86
View attachment 3620499
Ninge penda tu kukusanua ya kuwa of course inasemekana hivyo, ila sio tunavyo dhani...Nakuuliza hivi π
Kitu ambacho ni secret, na kina jadiliwa TU kwenye Secret Society, Wewe ambaye sio member wa secret Society, Nani alikupa hizi informations za secret Society?
Hio ni private forum kama j.f watu wana donate kua hai na hua inashushwa mara kwa mara ila umeandika utoto sana jamaa! Epstein files ilikua siri ila zimefichuka, wiki leaks etc hujawahi kupata siri ya kitu hukupaswa kujua ata kwenye maisha yako ya kawaida tu?Kama kitu ni secret na kina jadiliwa tu kwenye secret Society, Kingewezaje kuwekwa Online kwenye Public ya watu wengi?
Yani Secret Society waweke informations zao ambazo ni za siri, kwenye Google ambayo ni Public Search engine!!
Hivi nyie mna akili kweli?
Utawekaje informations zako ambazo ni za siri kwenye public search engine?
Hizo informations zitakuwa siri au taarifa kwa umma?
Aaah wapi!...timu zenu tu zina tatizoNa kwenye mechi za kombe la dunia tunaona kabisa wamiliki wa jamii hii ya Siri ni watu weupe, angalia timu za watu weupe/wazungu zinavyoshinda mechi zake.
Timu ya Africa hata kama iliongoza kwa goal zaidi ya 2, wakiruhusu tuu goal dakika ya 86 lazima meza ipinduke.
Tazama ππ
View attachment 3620492
Magoli yote yaliozivuruga timu za Africa yamepatikana dakika ya 86.
Walioyafunga hayo magoli wanavaa jezi namba 9
Tazama π π
View attachment 3620494
Harry Kane JEZI NAMBA 9
Romelu Lukaku JEZI NAMBA 9
Erling Halaand JEZI NAMBA 9
=999
Ukizipindua hizo namba kama matokeo yalivuopinduka zitaonekana kama 666
Kama unadhani imetokea kwa bahati mbaya BADO UNA SAFARI NDEFU SANA.
Chapa ya mnyama 666
View attachment 3620497
ππ
86
View attachment 3620499
Na hawajaweka wao, Siri zao zinakua exposed huko.. too much symbolism going on man utakua kilaza sana angalia to kwenye dollar, kwenye brand signs kama Nike everywhereKama kitu ni secret na kina jadiliwa tu kwenye secret Society, Kingewezaje kuwekwa Online kwenye Public ya watu wengi?
Yani Secret Society waweke informations zao ambazo ni za siri, kwenye Google ambayo ni Public Search engine!!
Hivi nyie mna akili kweli?
Utawekaje informations zako ambazo ni za siri kwenye public search engine?
Hizo informations zitakuwa siri au taarifa kwa umma?
Tatizo sio mchezo ila wahusika wa mchezo.Ukweli ndio huo, mpira ni dini iliyo na waumini wengi na kafara za sadaka zinatolewa sana tu
KabisaYule HAALAND nafsi yangu inagoma kuamini kuwa ni mtu normal!amekaa kivampirevampireππ