Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Taarifa yoyote ambayo inaanza naNinge penda tu kukusanua ya kuwa of course inasemekana hivyo, ila sio tunavyo dhani...
Kuujua ukweli kunaanza na kuthibitisha na kuhakiki hizo taarifa za Secret Society kama zina ukweli.Baada ya kujua ukweli, utagundua yote hayo nilosema pale juu..
Taarifa ambazo ni secret na zinazo jadiliwa TU kwenye secret Society, HAZIWEZI kupatikana Online kwenye Public Search Engines ambazo ni public kwa watu wote.There's no one holding the gates, wale sio watu kama sisi, hakuna aliye duniani anawajua. Waliopo duniani ambao tu nasema wana control ni wale walo link up na hao beings, so wanatumika kama portals tuu, na ndo hawa tunaowaabudu... Sijui freemasons sijui ninnin
SawaShatani ndio wewew sasa
Yule ni viking.Kabisa
Eipstein files zilikuwa siri mpaka pale zilipovujishwa na FBI.Hio ni private forum kama j.f watu wana donate kua hai na hua inashushwa mara kwa mara ila umeandika utoto sana jamaa! Epstein files ilikua siri ila zimefichuka, wiki leaks etc hujawahi kupata siri ya kitu hukupaswa kujua ata kwenye maisha yako ya kawaida tu?
Kwa hiyo Secret Society ndio ilipanga Paraguay ambayo ni 41st in FIFA rankings iwatoe Ujerumani ambayo ni 10th in FIFA rankings?Na hawajaweka wao, Siri zao zinakua exposed huko.. too much symbolism going on man utakua kilaza sana angalia to kwenye dollar, kwenye brand signs kama Nike everywhere
Hakuna kitu jombaa.Tukubali tu kwamba Senegal ni wa hovyo.Ni vile tu walibahatika kutangulia basi.Ni sawa Simba acheze na Njombe mji,then Njombe mji atangulie Simba aje kusawazisha useme ni u-freemason,sijuzi illuminati.Bure kabisa.Ukafungwe uwanjani watu wote tunaona then ulete narrations za ajabu.Kama yanafanya kazi kuna sababu zipi za kuajiri makocha ambao ni mapro kufundisha ball?Lisemwalo lipo
Waafrika kuadmit defeat ni kitu kigumu lazima zitengenezwe narrations kibao za kilokole kujustify upumbavuHarry Kane, Romelu Lukaku, na Haaland wote wanacheza namba 9 kwa sababu wote ni Center-forwards.
Wote ni ma strikers.
Ndio maana wote wamefunga magoli kutokana na positions zao.
Haya manyumbu huku Afrika yakishafungwa yanaanza hesabu zao za kipumbavu kutetea upumbavu wao.
Mara 999 ukipindua inakuwa 666. Harry Kane anacheza namba 9 ndio maana kafunga, Lukaku anacheza namba 9 ndio maana kafunga, Haaland anacheza namba 9 ndio maana kafunga.
Ulitaka magoli yafungwe na Kipa namba 1 au Mabeki namba 2 na 3?
Another petty bloated brat throwing tantrums.Me Niko angle ya Mpira kua mfumo uliyoundwa kuendesha fikra za watu hata sio mshabiki sijui ata Paraguay kafanyaje simply niliafiki tu mpira umeundwa Kwa makusudi, shika Yako na me yangu.. I bet nime spark some ?? In that skull if not I pity you, cheers kashangilie na ku bet sijui Paraguay sijui nan
😹😹😹Waafrika kuadmit defeat ni kitu kigumu lazima zitengenezwe narrations kibao za kilokole kujustify upumbavu
Upumbavu tu.Kama ingekuwa kweli kwanini wasifunge dakika ya sita na jezi namba sita tukajua hiyo 666 inavyofanya kazi.Namba ni namba tu hakuna cha namba ya shetani au malaika.Hata hiyo 666 wanayosema ni namba ya chapa kwenye vitabu vya dini imetumika kama picha tu haina uhusiano na hizi story wanazotunga.😹😹😹
Wanakwambia 999 ikipinduka inakuwa 666 ndio maana walifungwa!!
Ila hizi Akili za waafrika zinachekesha sana.
Siku zote Mfa maji haachi kutapatapa.Upumbavu tu.Kama ingekuwa kweli kwanini wasifunge dakika ya sita na jezi namba sita tukajua hiyo 666 inavyofanya kazi.Namba ni namba tu hakuna cha namba ya shetani au malaika.Hata hiyo 666 wanayosema ni namba ya chapa kwenye vitabu vya dini imetumika kama picha tu haina uhusiano na hizi story wanazotunga.
Honestly jana ndio nimegundua Senegal ni timu ya hovyo.Wanacheza bila malengo.Hizo dakika wangekuwa na nidhamu kwenye ulinzi wangetupunguzia hizi narrations za kilokole nyingi humu kwenye hili jukwaaSiku zote Mfa maji haachi kutapatapa.
How shall we explain to our kids that Senegal was once leading 2–0 in the 86th minute and still lost 3–2 to Belgium?
Hii itabaki historia ya kushangaza sana hapa Africa.
Kabisa mkuu.Honestly jana ndio nimegundua Senegal ni timu ya hovyo.Wanacheza bila malengo.Hizo dakika wangekuwa na nidhamu kwenye ulinzi wangetupunguzia hizi narrations za kilokole nyingi humu kwenye hili jukwaa
Mkuu? Naheshimu maoni yako Katika hili.Na kwenye mechi za kombe la dunia tunaona kabisa wamiliki wa jamii hii ya Siri ni watu weupe, angalia timu za watu weupe/wazungu zinavyoshinda mechi zake.
Timu ya Africa hata kama iliongoza kwa goal zaidi ya 2, wakiruhusu tuu goal dakika ya 86 lazima meza ipinduke.
Tazama 👇👇
View attachment 3620492
Magoli yote yaliozivuruga timu za Africa yamepatikana dakika ya 86.
Walioyafunga hayo magoli wanavaa jezi namba 9
Tazama 👇 👇
View attachment 3620494
Harry Kane JEZI NAMBA 9
Romelu Lukaku JEZI NAMBA 9
Erling Halaand JEZI NAMBA 9
=999
Ukizipindua hizo namba kama matokeo yalivuopinduka zitaonekana kama 666
Kama unadhani imetokea kwa bahati mbaya BADO UNA SAFARI NDEFU SANA.
Chapa ya mnyama 666
View attachment 3620497
👇👇
86
View attachment 3620499
Hahaha ule ni weupe wa watu wa Scandinavia kwenye baridi kali. Ni weupe kuliko wazungu wanaopatikana magaribi mwa Ulaya.Yule HAALAND nafsi yangu inagoma kuamini kuwa ni mtu normal!amekaa kivampirevampire😈😈
Wewe jamaa Itoshe kusema your a dumb intellectualTaarifa yoyote ambayo inaanza na
inasemekana.
Inakuwa ni taarifa isiyo na ukweli bado wala uthibitisho.
Inakuwa ni Rumors tu.
Kuujua ukweli kunaanza na kuthibitisha na kuhakiki hizo taarifa za Secret Society kama zina ukweli.
Na kama taarifa ni secret na taarifa hizo zina jadiliwa TU kwenye secret Society, Wewe ambaye sio member wa secret Society, Huwezi kuwa na taarifa hizo.
Kwa sababu taarifa hizo, Ni taarifa special za siri kwa members TU wa secret Society.
Taarifa ambazo ni secret na zinazo jadiliwa TU kwenye secret Society, HAZIWEZI kupatikana Online kwenye Public Search Engines ambazo ni public kwa watu wote.
Ndio maana huwezi kukuta, Taarifa za SIRI za Pentagon, USA Army, FBI, CIA, MOSSAD zipo accessible online kwa kila mtu.
Hauwezi kukuta taarifa za siri za kijasusi na za kiintelijensia za FBI, CIA na majeshi mbalimbali Duniani zipo accessible online kwa watu wote.
Sasa wewe mbongo, kusema kuna Secret Societies na kuelezea taarifa zao wakati wewe wala sio member wao, Inaleta Ukakasi.