Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Mpira wa Ulaya umekuwa wa kizembe sana nowdays kuliko Afrika

Hana mbinu huku anawakanda kila siku. Vini Jr angekuwa anacheza under Pep usingeona udambwi wake. Kule kila mtu ni mambio tu na mipass kibao. Boring.
Alipokuwa Everton alikuwa mbwa tu
 
Nilikuwa siambiwi kitu Kwa Man U
Man U ikifungwa Hata chakula Kilikuwa Hakiliki
Kwasasa Sijui hata Imecheza Lini
Sijui ina points ngap
Nikiambiwa Imefungwa Kama Vile nimeambiwa Kuna Mbuzi kapotea huko Malawi!!
Yaani hata Roho Kustuka hakuna!
Nimebakia na Simba hii ndio Inayo nitesa sana japo Simuda nayo ...
Usije ukaikacha thimbaaaaaa tarehe 19
 
Ukocha ni mbinu angenunua wanaoendana na mfumo wao

Kwa bajeti gani ya Everton? Everton hiyo hiyo inayopokonywa points kila siku. Umeanza lini kufuatilia mpira maana unauliza obvious qns.
 
Ulimtizama Okocha akiwa anacheza timu gani?
WC ya 2002 Korea Japan uliiona ukiwa kidato cha ngapi?
Ulimuona Robert Mboma akiifunga Ufaransa? Taribo West ? Je? 2006 umeiona Ghana yenye vipaji ya Appiah ikicheza na Brazil? Fainali ya Liver na Ac Milan uliiona? Batistuta umemuona akicheza?
Inshu hapa siyo kukutajia hao wachezaji inshu ya mtoa mada ni ubunifu wa wachezaji na vipaji vyao halisi wkiwa uwanjani.
Mifumo imekuwa kitu muhimu zaidi kuliko vipaji. Kuna ubaya na uzuri wa hii kitu.
Ukuondoa racism Yaya Toure anaingia ktk utata na Pep kwa sababu ya mfumo na siyo kipaji. Pep Mfumo wake unatka kilo chache kwa kiungo. Fergie anakosa vipaji alivyokuwa anavitaka mpk anamrudisha Scholes.
Hata hivyo kulikuwa na wachezaji flops ktk hizo zama pia siyo wooote walikuwa wazuri
Muulize anajua Fernando Redondo? Vipi Davor Suker? Nwankwo Kanu, moja ya talent bora zaidi kuwahi kucheza mpira ambaye kwa mtazamo wangu, kama isingekuwa operation angeenda kuwa mchezaji bora duniani. Kuna kikosi cha Cameroon cha kina Roger Miller kilichotukumbusha kuwa soccer ni sanaa.

Mpira sasa hivi unaboa sana. Yaani Ujerumani anacheza mpira mzuri kuliko Brazil.
 
Back
Top Bottom